Tanzania hatarini kuwekewa marufuku ya kusafiri kwenda Marekani

Kama safari za kwenda Bulembo, Wilaya ya Misenyi hawajazuia, waendelee na ujinga wao
 
Mmeambiwa mlipe kodi, hakuna sababu ya kukubali hayo masharti tutaenda Dubai na Uarabuni, Marekani na Europe si lolote si chochocte.
 
Mmeambiwa mlipe kodi, hakuna sababu ya kukubali hayo masharti tutaenda Dubai na Uarabuni, Marekani na Europe si lolote si chochocte.
Masharti gani, ya kuacha ukiukwaji wa demokrasia, katiba na haki za binadamu?
 
Zamiya kutuharibia sana nchi yetu Hadi tumezuiwa kwenda marekani.Sasa tukale wapi sisi wapambanaji?Hovyo sana hii awamu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hata kuandika hujui, who is ZAMIYA?

Kwahiyo hizo nchi nyingine 29 zote ni samia nsio kasababisha zizuiwe?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hata kuandika hujui, who is ZAMIYA?

Kwahiyo hizo nchi nyingine 29 zote ni samia nsio kasababisha zizuiwe?
Siyo kwamba sijui.naogopa kutekwa maana Nina watoto.wewe andika tu Kwa usahihi utaona siku ukitekwa huwezi kujitetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…