Nimefuatilia matangazo ya who nimegundua tanzania hatuhitaji chanjo na hili ndilo jambo ambalo wataalamu wetu wanatakiwa kujadili.
Who wanasema chanjo itaondoa "lockdown" na mtu aliyepata chanjo anaweza kupata maambukizi, anaweza kuambukiza na hivyo wanasema chanjo inazuia madhara yaliyopitiliza ya ugonjwa.
Wanasema baada ya kupata chanjo watu watarudi maisha ya kawaida ya kuvaa barakoa, kukaa umbali, kunawa n.k lakini hawatakumbana na madhara m,akubwa.
Nikitazama nchi yetu tuko hatua hiyo hiyo ambayo wenzetu wanaitafuta kupitia chanjo.
Sisi tunachohitaji ni kusisitiza kanuni za kujikinga basi lakini chanjo haitakuwa na "added value" kwetu labda kama kuna sanctions kutoka nje hiyo tu ndiko kwenye faida