Tanzania hatujawahi kulala njaa kwa kukosa mkopo dhidi ya COVID-19, woga na tamaa ndiyo itakayotumaliza


Kwani hadi unaitwa mkopo, mkopaji anaitwa kwenda kuchukua au anaomba tena kwa masharti magumu?



Danganyeni mamburula wenzenu.

Ukweli ni kuwa takwimu ni haki yetu. Kwa sisi kupewa takwimu kuna pia incentive ya mkopo.

Shida iko wapi hapo?

Au hofu ya uwepo wa mwendazake ingalipo?
 
Hata leo inasomwa bungeni budget feki.

Upatikanaji wa pesa utategemea makusanyo, siasa, mikopo na misaada.

Pesa zinaweza kupelekwa sehemu ambayo hata haikupangiwa budget.
nimecheeeka Sana mkuu Kwa comment yako hii

Bajeti feki, maendeleo feki
 
Hii inaitwa, tawala mawazo yako! Unachokiamini kishike, Ila ukweli tusiukwepe, Hatujaathirika kiasi cha kuhitaji mikopo inayofuatana na covd ndani yake
 
Athari za covid-19 zimewafikia hata wale ambao hawakuathirika sana na huo ugonjwa.
Sisi tulikuwa na athari zipi maana kama ni uchumi ulikuwa unakuwa mpaka tukaingia uchumi wa kati.
 
Bora tusingefunguwa kabisa!!
 
Hii inaitwa, tawala mawazo yako! Unachokiamini kishike, Ila ukweli tusiukwepe, Hatujaathirika kiasi cha kuhitaji mikopo inayofuatana na covd ndani yake

Kwani nani kamwita nani kwenda kuhitaji au kuchukua mkopo?

Kwanini hudhani habari ya mkopo ni kwa sababu tumeuomba:



Watanzania kwa kujishasha tuko vizuri. Ikumbukwe kuwa "no one is dying to advance us money!"

Huo ndiyo ulio ukweli mchungu kwa ile nchi ambayo Kibongo bongo inadhani kuwa ati ni tajiri kabisa kuliko zote duniani.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Unaposema Tanzania hatujawai kulala njaa kwakukosa mkopo wa covid 19 nakupinga wewe jisemee wewe kama wewe mimi nishalala njaa malakibao kwakukosa mkopo wa covid 19, Gharama zilizotumika kwenda Madagasika na kuchukua muarobaini tungegawiwa wanyonge tuongeongeza mtaji wa biashara zetu kwenye kipindi kigumu cha covid 19
 
Mtego wa corona upo kwenye idadi ya wagonjwa,maana wanajua wakikubana utangaze visa vitaongezeka tu kupitia vipimo feki,mask feki na chanjo feki.
lockdown utaifanya tu upende usipende.
Litakapo fika swala la lockdon,lawama atakazo zipata mama yetu zitakuwa mbaya sana kuwahi tokea,nafuu kama angeachana na huo mkopo.
Hizo data zinasaidia nini wananchi?
Wanakotangaza visa vimewasaidia kumaliza visa?
Au imekuwa tu ni njia ya mabeberu kumonitor tu kuzilazimisha nchi zijifungie Ili uchumi uendelee kuharibika ili watoe mikopo zaidi wale faida?.
Viongozi amueni tu mnavyo jisikia sasa,ila madhara ya kutangaza visa ni makubwa sana.
 
Your head need to be examined
 
Dikteta aligoma kuvaa barakoa, Covid19 ikalalanae mbele!!!
 
Nakuona mkuu ulivyo na uchungu wa nchi yako, aisee Ubarikiwe sana
 
Tukiendekeza ujinga huu, yatatukuta ya India ambao walishaanza kujimwambafy kuwa wameimaliza Covid
 
Hii inaitwa, tawala mawazo yako! Unachokiamini kishike, Ila ukweli tusiukwepe, Hatujaathirika kiasi cha kuhitaji mikopo inayofuatana na covd ndani yake
Dikteta aliivimbia Covid19 ,mwisho wa siku ikalalanae mbele
 
Dikteta aligoma kuvaa barakoa, Covid19 ikalalanae mbele!!!
Furahia basi, na au ufanye sherehe kabisa, tuone kama Mungu itamfanya abadili mawazo yake pindi atakapotaka kukuchukua na wewe!!
 
Uganda, Kenya wamechukua na 80% imeishia kwa ofisi ya Rais, posho za wabunge nk.

Bora tukope pesa kama hizo tuzipeleke kwenye Kilimo cha kisasa ( umwagiaji, mbegu bora, tractors, mbolea,
😁😁Mkopo wa posho 🤪🤪.

Hongera mkuu,kweli huu mkopo kwanza sio wa lazima,wakitaka watupe msaada na sio mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…