Tanzania hatujawahi kulala njaa kwa kukosa mkopo dhidi ya COVID-19, woga na tamaa ndiyo itakayotumaliza

Hivi unaijua athari ya covid 19 au unaisikia tu? Ungetembelea India, Mexico Brazil nk ili ujue corona inavyofanana! Tanzania hakuna corona!! Ndio maana hata mapadri walioapa kutoa takwimu wamekwama!! hawana takwimu za kutoa!! Umejaa uzima wa Mungu hadi umevimbiwa uzima huo na unataka uutapike!

Hatuhitaji mkopo wa kutusaidia kupambana na corona. Kama wanatupenda watupe pesa za kumalizia bwawa la Nyerere la kufua umeme (Stigler's George). Vinginevyo watukome. Viongozi watakaotuingiza kwenye mkopo huu wa corona hewa (isiyokuwepo), Mungu anawaona na watanzania tunawaona!! Wajue ya kuwa mkono wa Mungu ni mrefu!
 
Achana na huyo muongomuongo
 
Athari za covid-19 zimewafikia hata wale ambao hawakuathirika sana na huo ugonjwa.
Athari za corona ni pamoja na kutokupata watalii, wafanyabiashara kusitisha safari zao za kibiashara nk. Corona tuliponywa na Mungu japo athari zake zimetupata kwa kiasi fulani. Hatuhitaji mkopo kwa ajili ya kupambana na corona maana corona kwa sasa haipo! Hata waliokuwa wanaitafuta corona hata kwa tochi wamekwama!! Waliokuwa wanasubiri miili izagae barabarani wamekwama nk!

Nawahurumia wanaotaka kuwafurahisha mabeberu kwa kulazimisha kuwa kuna corona Tanzania, Mungu anawaona! Atairuhusu corona juu ya vichwa vyao na nyumba zao!! Mungu hadhihakiwi! Hiyo chanjo wanayoishabikia haitawaokoa! Lakini watanzania wengine watabaki salama!
 
Ila kumbuka Mwendazake alichukua pesa kutoka EU kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa Corona usiokuwepo
Siyo kukabiliana na ugonjwa bali na athari za çorona kama vile kutokupata watalii, biashara ya nje kuathirika nk. Kama lengo lako ni kuelewa utaelewa lakini kama lengo lako ni ubishi bkla shaka utaendelea!
 
Nashangaa vichwa panzi zinazoshobokea mkopo wa kupambana na Corona ambayo haipo

Kama ni kukopa fedha hizo ili wazielekeze kwenye Miradi, kwani tumezuwiwa kukopa fedha za kifanyia maendeleo Hadi tumajianike kutega bakuli Kwa kutumia uwongo wa Corona eti inatumaliza na wakati tunaendelea na shughuri zetu bila zingatio lolote
 
Reactions: Ame
Uache urongo!
 
Mkoni wa MUNGU una nguvu aliye ujalibu alikwama MUNGU hadanganyiki Wala hadanganyi kwake kweli tu hutoka na kutenda kasome hakuna chemchem moja ikatoa Radha mbili Kama unatoa kweli itatoa kweli huwezi kutoa ukweli na uongo katika chanzo kimoja ibilisi na MUNGU hawkai eneo moja Nuru na giza havitangamani
 
Mkono wa MUNGU una nguvu aliye ujalibu alikwama MUNGU hadanganyiki Wala hadanganyi kwake kweli tu hutoka na kutenda kasome hakuna chemchem moja ikatoa Radha mbili Kama unatoa kweli itatoa kweli huwezi kutoa ukweli na uongo katika chanzo kimoja ibilisi na MUNGU hawkai eneo moja Nuru na giza havitanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…