mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Hivi unaijua athari ya covid 19 au unaisikia tu? Ungetembelea India, Mexico Brazil nk ili ujue corona inavyofanana! Tanzania hakuna corona!! Ndio maana hata mapadri walioapa kutoa takwimu wamekwama!! hawana takwimu za kutoa!! Umejaa uzima wa Mungu hadi umevimbiwa uzima huo na unataka uutapike!Kwani tuseme mala ngapi uongo ndiyo uwe uongo tumedanganya vya kutosha kua hatuna tatizo huku watu wakiathilika na gonjwa wengine wakipoteza bahati ya kuishi turuhusu na akili zetu alizotujalia mola zifanye kazi ya kutushauri Nini Cha kufanya hakuna atakaye tupigia ramli ya maisha yetu yako mkononi mwetu uongo hua ni mfupi
Hatuhitaji mkopo wa kutusaidia kupambana na corona. Kama wanatupenda watupe pesa za kumalizia bwawa la Nyerere la kufua umeme (Stigler's George). Vinginevyo watukome. Viongozi watakaotuingiza kwenye mkopo huu wa corona hewa (isiyokuwepo), Mungu anawaona na watanzania tunawaona!! Wajue ya kuwa mkono wa Mungu ni mrefu!