Tanzania hatuna majaji wenye Intellect ya ku-handle kesi za Kikatiba

Tanzania hatuna majaji wenye Intellect ya ku-handle kesi za Kikatiba

baada ya kushauriana
This is vague, very controversial statement! kushauriana maana yake nini? nani mwenye kauli ya mwisho kama kushauriana kumepishana na matakwa ya Rais? You can not maintain the independence of the judiciary under these circumstances! Lazima majaji wa UPE wtoe hukumu za kijinga kama hii!
 
@Retired tatizo lako naona ni umekereka na hukumu zinazoi favour serikali.

Unasahau kesi kushina au kushindwa ni nguvu ya hoja (arguments)

Mbona kuna kesi zingine mfano hii ya juzi mahakama imeiambia serikali irekebishe kifungu cha 148 cha sheria ya mwenendo wa kesi ya jinai (CPA).

Au hapo huoni independence ya judiciary?

Kesi serikali ikitoboa mna-mind, mnaanza kusema majaji sijui wanapendelea,kesi mkitoboa mnasema haki imetendeka.
 
@Retired tatizo lako naona ni umekereka na hukumu zinazoi favour serikali.

Unasahau kesi kushina au kushindwa ni nguvu ya hoja (arguments)

Mbona kuna kesi zingine mfano hii ya juzi mahakama imeiambia serikali irekebishe kifungu cha 148 cha sheria ya mwenendo wa kesi ya jinai (CPA)...
Inakera kwa sababu ya reasoning ya hukumu. Applicant wanasema kavunja katiba, aka quote na kifungu kilichovunjwa , Kulita et all anashinikiza watumie election act! Both election act and constitution petition are applicable!

hata ile hukumu ya dhamana, bado ina mapungfu makubwa. sheria inavunja nguzo za katiba, unasema unaipa serikali miezi 18 iendelee kuvunja katiba! Mapungufu makubwa!
 
Umenena kweli tupu! na hawa awanatafuta kuwa Justices of Appeal na kwa modus operand ya Jiwe, lkzma wafanye "mavi" kama haya!
Judges kama Mwalusanya (Rip), Amir Manento et al wangeweza kuhandle issues kama hizi sababu walifikia rank za ujaji kwa vigezo na walijitambua kwa utendaji wao sio hawa wanaoteuliwa kwa kuwafunga wapinzani kwa kesi za 'kipuuzi'.
 
Majaji ni pro Meko ? Au kuna tatizo kwenye Katiba yetu?.

Tatizo si Katiba wala u pro-Meko.

Kwanza majaji Tanzania (na wateule wa idara nyingine zote) toka Uhuru huwa hawachaguliwi kwa merit. Kuna wanasheria 3,000 mtaani wamejiajiri, mavyuoni wanafundisha, nyumbani hawana kazi na serikalini kwenye utumishi wa umma. Nchi inahitaji majaji 50.

Hawa watu 50 kati 3,000 Rais gani amewahi kutoa statement kwa nini kamteua fulani bin fulani? KWA DISTINCTION GANI ALIYOIONYESHA HUKO NYUMA?

Ameandika hukumu gani iliyowakuna wanasheria wenzie na wanazuoni, au shuleni aliji distinguish vipi???? HAKUNA.

LA PILI: Akishakuwa jaji mara nyingi hawajinoi na kujenga utaalam bobezi kwa sababu ya rushwa! Analazimika kuandika hukumu ovyo ovyo ya kupindisha sheria kwa sababu keshalipwa!

LA TATU, uoga na kujipendekeza kwa political power, kunakotokana na kukosa uzalendo.

Najua kibinadamu ni vigumu kufanya jambo la kumuudhi Rais aliyekupa maisha kutokea "jalalani," kwa matamshi ya Prof Kabudi.

Lakini kwa nini umnyenyekee Rais wa amamu ya Tano wakati wewe ni Mkapa appointee??? Uzalendo wako uko wapi??

Wanashindwa ku resist political pressure and unwholesome entrities. Jaji Mkuu na majaji wake wanashinda Ikulu kila uchwao kukarimiwa ugeni na kupewa nafasi ya kusalimu wateuliwa na ku pledge allegience to the president, hapo Jaji anawezaje kubakia huru?

Wanachimbiwa mikwara ya kutoa hukumu zitakazoingiza hela serikalini, wanashindwa ku resist pressure, na cheo chenyewe ukishapewa huwezi kutenguliwa, na watu bado wanakuwa waogo, ni uzalendo hafifu.
 
Retired,

Wacha kuwadhalalisha majaji, kama hukuridhika na maamuzi waliyo yatoa utaratibu ni kukata rufaa Mahakama ya juu zaidi sio kuwadhalalisha na kulalamika mitandaoni.
 
Katika nchi zetu hizi, the practice of the doctrine of separation of powers ni unafiki mtupu.
 
Judges kama Mwalusanya (Rip), Amir Manento et al wangeweza kuhandle issues kama hizi sababu walifikia rank za ujaji kwa vigezo na walijitambua kwa utendaji wao sio hawa wanaoteuliwa kwa kuwafunga wapinzani kwa kesi za 'kipuuzi'.
Kati ya Mwalusanya au Lugakingira mmoja wapo aliishi maisha magumu kwa misimamo yake.
 
Tatizo si Katiba wala u pro-Meko.

Kwanza majaji Tanzania (na wateule wa idara nyingine zote) toka Uhuru huwa hawachaguliwi kwa merit. Kuna wanasheria 3,000 mtaani wamejiajiri, mavyuoni wanafundisha, nyumbani hawana kazi na serikalini kwenye utumishi wa umma. Nchi inahitaji majaji 50.

Hawa watu 50 kati 3,000 Rais gani amewahi kutoa statement kwa nini kamteua fulani bin fulani? KWA DISTINCTION GANI ALIYOIONYESHA HUKO NYUMA?

Ameandika hukumu gani iliyowakuna wanasheria wenzie na wanazuoni, au shuleni aliji distinguish vipi???? HAKUNA..
Hamna jipya hapa.
 
Wacha kuwadhalalisha majaji, kama hukuridhika na maamuzi waliyo yatoa utaratibu ni kukata rufaa Mahakama ya juu zaidi sio kuwadhalalisha na kulalamika mitandaoni.
kama wewe ni jaji , badilika! Maoni huru as long as sijatukana! Hukumu ikishatoka kuijadili ruksa!
 
Exactly! These were Bold Spirits! Including Lugakingira, Katika and few others!

JUSTICE MWALUSANYA REST IN PEACE

ANOTHER BOLD SPIRIT IN LEGAL FRATERNITY NO LONGER WITH US

Bold spirits within the judiciary, such as Justice James Mwalusanya, Justice Mwesiumo, and the late Justice Lugakingira, will always be remembered for championing judicial activism in Tanzania, which is directly reflected in their precedents and judgments. During Tanzania’s single party era, the judiciary struggled to act independently. These Judges, and others, are largely responsible for the Development of human rights jurisprudence in Tananzania.Justice James Mwalusanya passed away on 1st August, 2010 at his home in Dodoma region.

Mwalusanya championed individual and collectives efforts in promotions and protection and defense of human rights in judicial proceedings. Justice Mwalusanya made outstanding and remarkable judicial precedents which have been used to champnion judicial activism in Tanzania. Mwalusanya can remembere by his bold decision in many cases which required human judicial activism to decide them without violating human rights. Justice Mwalusanya died while the country lacks judicial officers who believe and protect principles of human rights as provided by many international instrument ratified by the country

Justice Mwalusanya was also awarded by LHRC Maji Maji 1st human rights awards in 2005 in the recognition and appreciation of his immense and exemplary contribution in protection, promotion and defence of human rights during his career. During his lifetime and his tenure, Justice Mwalusanya used boldly legal profession to pronounce decisions demonstrating an impressive and firm stand by judiciary in its role of dispensing justice without fear or intimidation.

Its know that judiciary can seriously weaken its independence if there are attempts within its ranks to keep law and order by policing those members of the judiciary who are perceived to belong to the activist wing of the department. Normally, activism in judicial work affects the executive arm of the State and not the judiciary itself. Therefore, whoever attacks activism does so for and on behalf of the executive either knowingly or unknowingly.
BY ONESMO OLENGURUMWA

Back
Top Bottom