This is vague, very controversial statement! kushauriana maana yake nini? nani mwenye kauli ya mwisho kama kushauriana kumepishana na matakwa ya Rais? You can not maintain the independence of the judiciary under these circumstances! Lazima majaji wa UPE wtoe hukumu za kijinga kama hii!baada ya kushauriana
@Retired tatizo lako naona ni umekereka na hukumu zinazoi favour serikali.This is vague, very controversial statement! kushauriana maana yake nini? nani mwenye kauli ya mwisho kama kushauriana kumepishana na matakwa ya Rais? You can not maintain the independence of the judiciary under these circumstances! Lazima majaji wa UPE wtoe hukumu za kijinga kama hii!
Inakera kwa sababu ya reasoning ya hukumu. Applicant wanasema kavunja katiba, aka quote na kifungu kilichovunjwa , Kulita et all anashinikiza watumie election act! Both election act and constitution petition are applicable!@Retired tatizo lako naona ni umekereka na hukumu zinazoi favour serikali.
Unasahau kesi kushina au kushindwa ni nguvu ya hoja (arguments)
Mbona kuna kesi zingine mfano hii ya juzi mahakama imeiambia serikali irekebishe kifungu cha 148 cha sheria ya mwenendo wa kesi ya jinai (CPA)...
Judges kama Mwalusanya (Rip), Amir Manento et al wangeweza kuhandle issues kama hizi sababu walifikia rank za ujaji kwa vigezo na walijitambua kwa utendaji wao sio hawa wanaoteuliwa kwa kuwafunga wapinzani kwa kesi za 'kipuuzi'.Umenena kweli tupu! na hawa awanatafuta kuwa Justices of Appeal na kwa modus operand ya Jiwe, lkzma wafanye "mavi" kama haya!
Majaji ni pro Meko ? Au kuna tatizo kwenye Katiba yetu?.
Kati ya Mwalusanya au Lugakingira mmoja wapo aliishi maisha magumu kwa misimamo yake.Judges kama Mwalusanya (Rip), Amir Manento et al wangeweza kuhandle issues kama hizi sababu walifikia rank za ujaji kwa vigezo na walijitambua kwa utendaji wao sio hawa wanaoteuliwa kwa kuwafunga wapinzani kwa kesi za 'kipuuzi'.
Kweli kabisa.Katika nchi zetu hizi, the practice of the doctrine of separation of powers ni unafiki mtupu.
Rais.Hivi majaji wanachaguliwa Vp?
Nani anawateua?
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hamna jipya hapa.Tatizo si Katiba wala u pro-Meko.
Kwanza majaji Tanzania (na wateule wa idara nyingine zote) toka Uhuru huwa hawachaguliwi kwa merit. Kuna wanasheria 3,000 mtaani wamejiajiri, mavyuoni wanafundisha, nyumbani hawana kazi na serikalini kwenye utumishi wa umma. Nchi inahitaji majaji 50.
Hawa watu 50 kati 3,000 Rais gani amewahi kutoa statement kwa nini kamteua fulani bin fulani? KWA DISTINCTION GANI ALIYOIONYESHA HUKO NYUMA?
Ameandika hukumu gani iliyowakuna wanasheria wenzie na wanazuoni, au shuleni aliji distinguish vipi???? HAKUNA..
kama wewe ni jaji , badilika! Maoni huru as long as sijatukana! Hukumu ikishatoka kuijadili ruksa!Wacha kuwadhalalisha majaji, kama hukuridhika na maamuzi waliyo yatoa utaratibu ni kukata rufaa Mahakama ya juu zaidi sio kuwadhalalisha na kulalamika mitandaoni.
Judges kama Mwalusanya (Rip), Amir Manento et al wangeweza kuhandle issues kama hizi sababu walifikia rank za ujaji kwa vigezo na walijitambua kwa utendaji wao sio hawa wanaoteuliwa kwa kuwafunga wapinzani kwa kesi za 'kipuuzi'.