Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #141
Umesamehewa makosa yako yoteDingi wako angejua matumizi ya condom tusingekuwa na huu uchafu hapa jukwaani leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesamehewa makosa yako yoteDingi wako angejua matumizi ya condom tusingekuwa na huu uchafu hapa jukwaani leo
An educated man knows how to tell someone stupid without using term stupid!!😅😅🤣🤣It's no a question. It's info. .... Looks like you are the one who is stupid here.
Duuu , umempa za chembe 🤣😅🤣😅Dingi wako angejua matumizi ya condom tusingekuwa na huu uchafu hapa jukwaani leo
Yah right.....!!An educated man knows how to tell someone stupid without using term stupid!!😅😅🤣🤣
POPOMA
Mkuu Mshambwa hakuna anakataa kuwa huenda sio vazi la shule zetu! Si kila Mkoa wanazo zile wanataka!Ndugu zangu Watanzania,
Kumekuwa na utamaduni na tabia ya baadhi ya watanzania wachache wenye wivu na chuki binafsi za kuchukua picha mitandaoni kutoka Nchi za nje ya Tanzania na kuziweka mtandaoni na kusema ni Tanzania.
Picha hizo zimekuwa ni zile zenye kuchafua Taswira nzuri ya maendeleo na mafanikio tuliyoyapata na kufikia kama Taifa. Imekuwa ni kawaida kuona mtu anachukua picha ya wanafunzi au kipande cha barabara kibovu na kisicho pitika kutoka nchi fulani barani Afrika Na kusema ni Tanzania.
Lengo likiwa ni kuichafua na kuipaka Matope serikali yetu na kuonyesha kuwa haifanyi kazi. Jambo ambalo siyo la kweli hata kidogo. Kwa kuwa Watanzania wote wanafahamu namna serikali ilivyofanya kazi kubwa ya kusogeza huduma za kijamii karibu kabisa ya Mwananchi zenye ubora wa kiwango cha juu.
View attachment 3233233
Kuna picha hiyo hapo juu watu wameiweka mtandaoni ikionyesha wanafunzi waliovalia sare nyekundu kwa upande wa sketi na suruali pamoja na shati jeupe na kusema kuwa ni Tanzania wakiwa wamekaa kwenye matofali na darasa bovu la miti na lililokandikwa kwa udongo huku likiwa linapitisha Maji Matupu chini . Jambo hilo ni la uongo kwa sababu hakuna sare ya aina hiyo inayotumika na kuvaliwa na wanafunzi katika shule za serikali kwa upande wa shule za Msingi.
Rai yangu ni kuwaasa na kuwataka watanzania kuacha tabia hiyo mbaya na isiyokubalika ya kuichafua na kuipaka Matope serikali yetu kwa chuki binafsi. Tuache kueneza upotoshaji na habari za uongo kwa malengo Binafsi. Tuendelee kuiunga Mkono serikali yetu na kushiriki katika shughuli za maendeleo pamoja na kulinda Miundombinu na miradi ambayo imekuwa ikijengwa kila kona ya Nchi yetu pasipo kumchangisha hata mia Mwananchi.
Embu Tazama hapa kama Sample Namna serikali yetu ilivyojenga shule kwa ubora na kuvutia Utafikiri ulaya pasipo kuomba michango kutoka kwa watanzania.
View attachment 3233120View attachment 3233121
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwani kuna mahali serikali iliwahi kufanya vibaya? Ninavyojua toka mwaka 1961 serokali inafanya vizuri mpaka kesho.Kwani Nchi ambazo wanafunzi wao wanakaa chini na kukosa madarasa na huduma zingine.Je wao hawakusanyi kodi? Tujifunze kupongeza pale serikali inapofanya vizuri.
Umeandika nn sasa. Hebu jisome kwanza halafu. Ujitathmini.Mnajitoa ufahamu kuukataa ukweli wa changamoto. Unafichaje matatizo. Kuibua kasoro ndiyo kuyatatua. Lakini kuyaficha au kuyafumbia macho ni kuwapuuza, kuwadharau na kuwadidimiza wananchi
Leta ushahidi hio picha ilipigwa Tanzania.Unajifanya mjuaji. Sasa tutajie hio picha ilipigwa wapi?Mnajitoa ufahamu kuukataa ukweli wa changamoto. Unafichaje matatizo. Kuibua kasoro ndiyo kuyatatua. Lakini kuyaficha au kuyafumbia macho ni kuwapuuza, kuwadharau na kuwadidimiza wananchi
Naona kopo na mfuniko mmekutanaDuuu , umempa za chembe 🤣😅🤣😅
Anzisha chama chako ili uweke demokrasia yako unayoitakaChumba Cha Giza Pale Jakaya Kikwete Convention Centre ~Dodoma
Demokrasia Imenajisiwa Hadharani
Acha makasiriko mkuu. Ukipigiwa picha kila uozo, uchafu na uzembe wa mtanzania utanyamaza na kuufyata. Itoshe kusema sasa tufanye mabadiliko, matengenezo na masahihisho. Zimewekwa humu picha zaidi ya 5 zenye shule hoi. Usidhani ni kuipenda nchi kuficha madhaifu yetu.Leta ushahidi hio picha ilipigwa Tanzania.Unajifanya mjuaji. Sasa tutajie hio picha ilipigwa wapi?
Wananchi wanadidimizwaje 👈 fafanua. Ukiangalia hio picha unaona wananchi wanadidimizwa? Ludicrious.
Makasiriko gani tena hayo Mzee.Acha makasiriko mkuu. Ukipigiwa picha kila uozo, uchafu na uzembe wa mtanzania utanyamaza na kuufyata. Itoshe kusema sasa tufanye mabadiliko, matengenezo na masahihisho. Zimewekwa humu picha zaidi ya 5 zenye shule hoi. Usidhani ni kuipenda nchi kuficha madhaifu yetu.
AhaHiyo shule ipo Kenya.
Bora wazazi wake wangezaa hata panyaKuzaliwa kwake huyu kidampa ni matumizi mabaya ya manii
anapoleta chakula nyumbani huwa anapongezwa? Huo ni wajibu wake mheshimiwa. Sio suala la kupongeza. Kuna sehemu nyingi Tanzania na hata huko kwenu Mbozi hali ni mbaya sana za shule zingine hata majengo hawana. Zahanati hakuna, barabara hakuna. Tembea sehemu mbalimbali za nchi ujionee maajabu ya dunia,. Acha kusema ujinga wako.Unaposema wajibu unamaanisha nini? Kwani Nchi ngapi zimeshindwa kutimiza wajibu wao? Kwanini usipongeze kwa kazi nzuri iliyofanywa na serikali yetu?
Kumuita huyu kidampa ni kukikosea heshima kifaa cha kazi sites.....Kuzaliwa kwake huyu kidampa ni matumizi mabaya ya manii
Niwie radhi mkuu, huyu tumuite msukule.Kumuita huyu kidampa ni kukikosea heshima kifaa cha kazi sites.....
Tutake radhi wabeba zege mkuu....hicho kifaa kina faida kubwa sana kuliko huyo jamaa