Tanzania hatuna shule inayovaa sare ya aina hii. Acheni kuichafua na kuipaka matope Serikali yetu iliyojenga madarasa bora mpaka vijijini huko

Mkuu Mshambwa hakuna anakataa kuwa huenda sio vazi la shule zetu! Si kila Mkoa wanazo zile wanataka!
Ila tambua kiukweli Kuna baadhi ya Wilaya na Halmashauri hazikuonja wala kunusa hizo pesa za mjengo.
Huku kijijini kwangu sijaona Darasa hata limoja kwa pesa hiyo military ya COVID 19!
Majengo ni machache na chakavu hivi kweli Serikali na TAMISEMI mnapoenda kufanya chaguzi hamuyaoni haya mambo!
Usijifanye haujui vinginenyo unamaisha ya mjini!
Tembea utayajua!
 
Kwani Nchi ambazo wanafunzi wao wanakaa chini na kukosa madarasa na huduma zingine.Je wao hawakusanyi kodi? Tujifunze kupongeza pale serikali inapofanya vizuri.
Kwani kuna mahali serikali iliwahi kufanya vibaya? Ninavyojua toka mwaka 1961 serokali inafanya vizuri mpaka kesho.
 
Mnajitoa ufahamu kuukataa ukweli wa changamoto. Unafichaje matatizo. Kuibua kasoro ndiyo kuyatatua. Lakini kuyaficha au kuyafumbia macho ni kuwapuuza, kuwadharau na kuwadidimiza wananchi
Umeandika nn sasa. Hebu jisome kwanza halafu. Ujitathmini.

Unajaza server tu za Jamiiforums.
 
Mnajitoa ufahamu kuukataa ukweli wa changamoto. Unafichaje matatizo. Kuibua kasoro ndiyo kuyatatua. Lakini kuyaficha au kuyafumbia macho ni kuwapuuza, kuwadharau na kuwadidimiza wananchi
Leta ushahidi hio picha ilipigwa Tanzania.Unajifanya mjuaji. Sasa tutajie hio picha ilipigwa wapi?

Wananchi wanadidimizwaje 👈 fafanua. Ukiangalia hio picha unaona wananchi wanadidimizwa? Ludicrious.
 
Chumba Cha Giza Pale Jakaya Kikwete Convention Centre ~Dodoma
Demokrasia Imenajisiwa Hadharani
 
Leta ushahidi hio picha ilipigwa Tanzania.Unajifanya mjuaji. Sasa tutajie hio picha ilipigwa wapi?

Wananchi wanadidimizwaje 👈 fafanua. Ukiangalia hio picha unaona wananchi wanadidimizwa? Ludicrious.
Acha makasiriko mkuu. Ukipigiwa picha kila uozo, uchafu na uzembe wa mtanzania utanyamaza na kuufyata. Itoshe kusema sasa tufanye mabadiliko, matengenezo na masahihisho. Zimewekwa humu picha zaidi ya 5 zenye shule hoi. Usidhani ni kuipenda nchi kuficha madhaifu yetu.
 
Makasiriko gani tena hayo Mzee.

MKuu sisemi hakua uozo, sisemi hakuna uzembe, na wala sijasema kwamba hakuna madhaifu serikalini.
nauliza, picha ilipigwa wapi?
 
Baba
Unaposema wajibu unamaanisha nini? Kwani Nchi ngapi zimeshindwa kutimiza wajibu wao? Kwanini usipongeze kwa kazi nzuri iliyofanywa na serikali yetu?
anapoleta chakula nyumbani huwa anapongezwa? Huo ni wajibu wake mheshimiwa. Sio suala la kupongeza. Kuna sehemu nyingi Tanzania na hata huko kwenu Mbozi hali ni mbaya sana za shule zingine hata majengo hawana. Zahanati hakuna, barabara hakuna. Tembea sehemu mbalimbali za nchi ujionee maajabu ya dunia,. Acha kusema ujinga wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…