Tanzania hatuna ubavu wa kumshika mwanajeshi wa Marekani ni uchawa tu

Tanzania hatuna ubavu wa kumshika mwanajeshi wa Marekani ni uchawa tu

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Polisi hii ya kupiga risasi vijana ndiyo yenye uwezo wa kumshika Mwanajeshi wa Marekani tuache ujinga na uongo. Mwanajeshi wa Marekani akishikwa ni swala la kitaifa mpaka sasa jeshi la Marekani halijasema kitu.

Pili kama alikuwa mwanajeshi zamani sasa atakuwa mwanajeshi mstaafu. Kuna kitu kinaitwa active duty yaani hawa ndiyo wanajeshi uki staafu unakuwa mwanajeshi mstaafu. Balozi ya Marekani haijasema lolote maana wamekamata Mkenya na kuingizwa mkenge ni Mmarekani ili kuleta sitofahamu kwa taifa.

Katiba mpa ndiyo tunahitaji sio uchawa
 
Kwani Mwanajeshi wa marekani unamchukuliaje? Marekani ina hadi mashoga jeshini kazi yao ni kuliwa na wanajeshi wengine . Wapo kazi yao ni kuoika tu wali watu wale na wanakaa hata mwaka mmoja wanaacha mfumo wa jeshi wa marekani sio kama akili yako inavokuaminisha
 
Upumbavu mtupu inatakiwa ukomae na ubalozi wa USA watoe taharifa rasmi
 
Back
Top Bottom