Tanzania hatuna wachambuzi

🀣🀣🀣🀣🀣 Kwa kweli pre and post match interviews zetu ni majanga. Lugha ya malkia ndio kabisaaa gift yule wa azam dah balaaa lugha tabu.

Kwa kweli fani imevamiwa. Wee pale arusha wangeenda kuongea nini maana pale ni yes no yes no na pia uwe mtu wa parle francais 🀣🀣🀣🀣

Alafu utawashangaa hawa wachambuzi kila leo oh makocha wetu wazawa hawaendi kufundisha nje ya nchi....mbona nyie wachambuzi hamuendi kufanya kazi kwenye media za nje ya nchi mteme yai 🀣🀣😭😭
 
Mlete mzunguuu...mlete mzunguuu...mlete mzunguuu
 
Kuna redio nilikua nasikiliza jamaa mmoja akawauliza wenzake ' hivi top scorer wa assist ni nani msimu ulio pita pale simba?'
Siku hizi wanawekana kindugu kama pale wasafi na recardo momo siku hizi kawa mchambuzi kisa ana undugu na platnumz
 
Coach how do you feel after the match swali
Kama anaulizwa mgonjwa vile [emoji1787]
 
Coach how do you feel after the match swali
Kama anaulizwa mgonjwa vile [emoji1787]
🀣🀣🀣🀣🀣 Kabisa bwana kwa kweli azam waliangalie hili maana haya maswali ni ya mtoto wa darasa la saba 🀣🀣🀣🀣

Ulaya sasa . " Pep congrats for the win. talk us through the changes at half time bringing in forden for grelish"
Unaona kabisa jamaa anajua anachofanya.
 
Yule dada ngongoti ndo alinishangaza Sana.
 
Kweli kabisa kwa mfano yule mchezaji wa simba mechi yake ya kwanza kafunga ulaya ungesikia despite the new environment and new players but You scored your first goal in your debut match it's not easy for many players how do you overcome the pressure today?

Mkuu twende AZAM tukafanye interview tu na wachezaji wageni [emoji1787][emoji1787]
 
tafuta matokeo ya hesabu kidato cha nne kwa wachambuzi wa bongo ndio utajua vilaza
 
Kabisa mwanawane ngoja tuwaite jamaa wa azam tv waje kwenye uzi huu waone jinsi tunavyo vunja yai 🀣🀣🀣
 
Siku hizi wanawekana kindugu kama pale wasafi na recardo momo siku hizi kawa mchambuzi kisa ana undugu na platnumz
Siku wasafi watembelewe na mgeni anaetema yai tu, Hadi huruma aiseeee
 
Binafsi nakubaliana na wewe 100%. Kuna mtu nilishawahi kumpa hii analysis akaikataa ila ndo ukweli wenyewe. Wachambizi karibu wote hawana uelewa wa technical issues za mpira, wako too general.
*Wachambuzi wa Tanzania kwenye kukariri na kutaja tu majina ya makocha na wachezaji kwenye timu mbalimbali nawapa 100%, kwenye technical analysis ni 0%
 
Umesema
1.hawana content kwa sababu hawajui English?
2.Hawana content na hawajui English?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…