Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣 Kwa kweli pre and post match interviews zetu ni majanga. Lugha ya malkia ndio kabisaaa gift yule wa azam dah balaaa lugha tabu.Habari za jioni wakuu,
Ikiwa umepita mda mchache toka kuanza kwa kikao kikubwa cha soka barani Africa ila kinachoendelea mitandaoni kinasikitisha sana.
Katika tasnia zilizovamiwa Tanzania ukiitoa ile ya Bongo movie basi inafuata tasnia ya michezo tena imejaa vilaza kweli hakuna anayesimamia ukweli wao wanaangalia interest zao na upepo unavuma kuelekea wapi kwasababu zifuatazo:–
Siku za karibuni CAF ilitoa orodha ya vilabu vitakavyoshiriki katika mashindano hayo na hatua zitakazo anzia huku AZAM FC ikiibua maswali mengi kwa hatua itakayoanzia,
kwani hawaanzii hatua ya awali kama team nyingine za Tanzania ila hakuna mchambuzi aliyefuatilia au kufafanua kwa nini wao wenyewe hawajui kama sisi na hakuna anayefuatilia zaidi ya kila mtu kuongea la kwake wao ndio walitakiwa watupe ufafanuzi ila hawajui kitu maajabu haya.
Arusha kuna tukio kubwa linafanyika linalokutanisha wawakilishi wa CAF kutoka sehemu mbali mbali badala ya wachambuzi wetu kutumia fursa hii adhimu kwa interview za watu mashuhuri na kujua undani wa mkutano huo kwa kutupa updates na ufafanuzi wa yanayojiri wao wamekuja na hoja mpya kabisa wakihoji kwa nini yanga hajaalikwa kwenye ghafla hyo kweli mmekosa vya kuzungumza na kuchambua ndio maana karia alisema mrudi shule.
Ukiangalia kuanzia WASAFI FM, CLOUDS FM na E–FM unapata picha tuna wachambuzi wa aina gani wao ni kujadili upuuzi wa simba kuhusu jeneza na mzungu na yanga kumruhusu haji manara kuwa MC ni kweli ni masuala ya mpira na yametokea kwenye vilabu vya mpira ila vinapewa airtime kubwa kuliko main content inayotakiwa wakija kuchambua soka la kimataifa ndo utatamani uzime redio hawana wanachokijua zaidi ya matokeo na takwimu tu.
Hivi ukweli mtu unafikia hatua ya kufanya kazi kampuni kubwa kama clouds fm au AZAM MEDIA halafu lugha gongano yaani haipandi muangalie yule Gift macha pale AZAM juzi wakati akiwahoji makocha baada ya mechi utatamani uzime TV,
sawa hujui basi wanashindwa hata kujiongeza kwa rasi simba maana kazi zao zinawakutanisha watu tofauti tofauti kutoka nchi nyingi wanao ongea lugha mbali mbali si vibaya wachambuzi wetu wajifunze kifaransa na English hilo sio la kuwaambia ni lazima ndo maana baada ya mechi wachambuzi wetu wanakimbia kufanya interview na wageni wanakimbilia kwa wenyeji.
Aibu kubwa hii kuna jamaa anaitwa Patrick nyembera pale AZAM ndo kituko kabisa clouds sitaki hata kuongea maana lwambano na priva baada ya good morning na how are you kinachofuata baada ya hapo ni aibu shafii dauda ndo wale wale.
Wachambuzi wetu wanapaswa wabadilike dunia inaenda kasi sana na technology inabadilika hizi simba na yanga zisiwafanye nyinyi ni kina roy Keane na Thierry Henry kwenye uchambuzi wakati kubadilisha article ya kiingereza tu kwenda kwenye kiswahili wengi wao ni mtihani wanatakiwa wajiongeze kwenye eneo hilo bahasha siziwalemaze akili wakati ni empty kichwani.
NB: Bila kupitisha sheria ngumu hili eneo linaenda kuwa bomu hawa wanasheria wahasibu na afisa ugavi pamoja na walimu warudi kwenye fani zao mpira una wenyewe au warudi shule wakasome.
Tatizo ni sie kutokuheshimu taaluma za watu.Tatizo la ajira kwa vijana limeleta haya yote
Mlete mzunguuu...mlete mzunguuu...mlete mzunguuuHabari za jioni wakuu,

Siku hizi wanawekana kindugu kama pale wasafi na recardo momo siku hizi kawa mchambuzi kisa ana undugu na platnumzKuna redio nilikua nasikiliza jamaa mmoja akawauliza wenzake ' hivi top scorer wa assist ni nani msimu ulio pita pale simba?'
Coach how do you feel after the match swali[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa kweli pre and post match interviews zetu ni majanga. Lugha ya malkia ndio kabisaaa gift yule wa azam dah balaaa lugha tabu.
Kwa kweli fani imevamiwa. Wee pale arusha wangeenda kuongea nini maana pale ni yes no yes no na pia uwe mtu wa parle francais [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu utawashangaa hawa wachambuzi kila leo oh makocha wetu wazawa hawaendi kufundisha nje ya nchi....mbona nyie wachambuzi hamuendi kufanya kazi kwenye media za nje ya nchi mteme yai [emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24]
🤣🤣🤣🤣🤣 Kabisa bwana kwa kweli azam waliangalie hili maana haya maswali ni ya mtoto wa darasa la saba 🤣🤣🤣🤣Coach how do you feel after the match swali
Kama anaulizwa mgonjwa vile [emoji1787]
Yule dada ngongoti ndo alinishangaza Sana.Habari za jioni wakuu,
Ikiwa umepita mda mchache toka kuanza kwa kikao kikubwa cha soka barani Africa ila kinachoendelea mitandaoni kinasikitisha sana.
Katika tasnia zilizovamiwa Tanzania ukiitoa ile ya Bongo movie basi inafuata tasnia ya michezo tena imejaa vilaza kweli hakuna anayesimamia ukweli wao wanaangalia interest zao na upepo unavuma kuelekea wapi kwasababu zifuatazo:–
Siku za karibuni CAF ilitoa orodha ya vilabu vitakavyoshiriki katika mashindano hayo na hatua zitakazo anzia huku AZAM FC ikiibua maswali mengi kwa hatua itakayoanzia,
kwani hawaanzii hatua ya awali kama team nyingine za Tanzania ila hakuna mchambuzi aliyefuatilia au kufafanua kwa nini wao wenyewe hawajui kama sisi na hakuna anayefuatilia zaidi ya kila mtu kuongea la kwake wao ndio walitakiwa watupe ufafanuzi ila hawajui kitu maajabu haya.
Arusha kuna tukio kubwa linafanyika linalokutanisha wawakilishi wa CAF kutoka sehemu mbali mbali badala ya wachambuzi wetu kutumia fursa hii adhimu kwa interview za watu mashuhuri na kujua undani wa mkutano huo kwa kutupa updates na ufafanuzi wa yanayojiri wao wamekuja na hoja mpya kabisa wakihoji kwa nini yanga hajaalikwa kwenye ghafla hyo kweli mmekosa vya kuzungumza na kuchambua ndio maana karia alisema mrudi shule.
Ukiangalia kuanzia WASAFI FM, CLOUDS FM na E–FM unapata picha tuna wachambuzi wa aina gani wao ni kujadili upuuzi wa simba kuhusu jeneza na mzungu na yanga kumruhusu haji manara kuwa MC ni kweli ni masuala ya mpira na yametokea kwenye vilabu vya mpira ila vinapewa airtime kubwa kuliko main content inayotakiwa wakija kuchambua soka la kimataifa ndo utatamani uzime redio hawana wanachokijua zaidi ya matokeo na takwimu tu.
Hivi ukweli mtu unafikia hatua ya kufanya kazi kampuni kubwa kama clouds fm au AZAM MEDIA halafu lugha gongano yaani haipandi muangalie yule Gift macha pale AZAM juzi wakati akiwahoji makocha baada ya mechi utatamani uzime TV,
sawa hujui basi wanashindwa hata kujiongeza kwa rasi simba maana kazi zao zinawakutanisha watu tofauti tofauti kutoka nchi nyingi wanao ongea lugha mbali mbali si vibaya wachambuzi wetu wajifunze kifaransa na English hilo sio la kuwaambia ni lazima ndo maana baada ya mechi wachambuzi wetu wanakimbia kufanya interview na wageni wanakimbilia kwa wenyeji.
Aibu kubwa hii kuna jamaa anaitwa Patrick nyembera pale AZAM ndo kituko kabisa clouds sitaki hata kuongea maana lwambano na priva baada ya good morning na how are you kinachofuata baada ya hapo ni aibu shafii dauda ndo wale wale.
Wachambuzi wetu wanapaswa wabadilike dunia inaenda kasi sana na technology inabadilika hizi simba na yanga zisiwafanye nyinyi ni kina roy Keane na Thierry Henry kwenye uchambuzi wakati kubadilisha article ya kiingereza tu kwenda kwenye kiswahili wengi wao ni mtihani wanatakiwa wajiongeze kwenye eneo hilo bahasha siziwalemaze akili wakati ni empty kichwani.
NB: Bila kupitisha sheria ngumu hili eneo linaenda kuwa bomu hawa wanasheria wahasibu na afisa ugavi pamoja na walimu warudi kwenye fani zao mpira una wenyewe au warudi shule wakasome.
Kweli kabisa kwa mfano yule mchezaji wa simba mechi yake ya kwanza kafunga ulaya ungesikia despite the new environment and new players but You scored your first goal in your debut match it's not easy for many players how do you overcome the pressure today?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kabisa bwana kwa kweli azam waliangalie hili maana haya maswali ni ya mtoto wa darasa la saba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulaya sasa . " Pep congrats for the win. talk us through the changes at half time bringing in forden for grelish"
Unaona kabisa jamaa anajua anachofanya.
Kabisa mwanawane ngoja tuwaite jamaa wa azam tv waje kwenye uzi huu waone jinsi tunavyo vunja yai 🤣🤣🤣Kweli kabisa kwa mfano yule mchezaji wa simba mechi yake ya kwanza kafunga ulaya ungesikia despite the new environment and new players but You scored your first goal in your debut match it's not easy for many players how do you overcome the pressure today?
Mkuu twende AZAM tukafanye interview tu na wachezaji wageni [emoji1787][emoji1787]
😄😄😄😄Kuna redio nilikua nasikiliza jamaa mmoja akawauliza wenzake ' hivi top scorer wa assist ni nani msimu ulio pita pale simba?'
Siku wasafi watembelewe na mgeni anaetema yai tu, Hadi huruma aiseeeeSiku hizi wanawekana kindugu kama pale wasafi na recardo momo siku hizi kawa mchambuzi kisa ana undugu na platnumz
Binafsi nakubaliana na wewe 100%. Kuna mtu nilishawahi kumpa hii analysis akaikataa ila ndo ukweli wenyewe. Wachambizi karibu wote hawana uelewa wa technical issues za mpira, wako too general.Habari za jioni wakuu,
Ikiwa umepita mda mchache toka kuanza kwa kikao kikubwa cha soka barani Africa ila kinachoendelea mitandaoni kinasikitisha sana.
Katika tasnia zilizovamiwa Tanzania ukiitoa ile ya Bongo movie basi inafuata tasnia ya michezo tena imejaa vilaza kweli hakuna anayesimamia ukweli wao wanaangalia interest zao na upepo unavuma kuelekea wapi kwasababu zifuatazo:–
Siku za karibuni CAF ilitoa orodha ya vilabu vitakavyoshiriki katika mashindano hayo na hatua zitakazo anzia huku AZAM FC ikiibua maswali mengi kwa hatua itakayoanzia,
kwani hawaanzii hatua ya awali kama team nyingine za Tanzania ila hakuna mchambuzi aliyefuatilia au kufafanua kwa nini wao wenyewe hawajui kama sisi na hakuna anayefuatilia zaidi ya kila mtu kuongea la kwake wao ndio walitakiwa watupe ufafanuzi ila hawajui kitu maajabu haya.
Arusha kuna tukio kubwa linafanyika linalokutanisha wawakilishi wa CAF kutoka sehemu mbali mbali badala ya wachambuzi wetu kutumia fursa hii adhimu kwa interview za watu mashuhuri na kujua undani wa mkutano huo kwa kutupa updates na ufafanuzi wa yanayojiri wao wamekuja na hoja mpya kabisa wakihoji kwa nini yanga hajaalikwa kwenye ghafla hyo kweli mmekosa vya kuzungumza na kuchambua ndio maana karia alisema mrudi shule.
Ukiangalia kuanzia WASAFI FM, CLOUDS FM na E–FM unapata picha tuna wachambuzi wa aina gani wao ni kujadili upuuzi wa simba kuhusu jeneza na mzungu na yanga kumruhusu haji manara kuwa MC ni kweli ni masuala ya mpira na yametokea kwenye vilabu vya mpira ila vinapewa airtime kubwa kuliko main content inayotakiwa wakija kuchambua soka la kimataifa ndo utatamani uzime redio hawana wanachokijua zaidi ya matokeo na takwimu tu.
Hivi ukweli mtu unafikia hatua ya kufanya kazi kampuni kubwa kama clouds fm au AZAM MEDIA halafu lugha gongano yaani haipandi muangalie yule Gift macha pale AZAM juzi wakati akiwahoji makocha baada ya mechi utatamani uzime TV,
sawa hujui basi wanashindwa hata kujiongeza kwa rasi simba maana kazi zao zinawakutanisha watu tofauti tofauti kutoka nchi nyingi wanao ongea lugha mbali mbali si vibaya wachambuzi wetu wajifunze kifaransa na English hilo sio la kuwaambia ni lazima ndo maana baada ya mechi wachambuzi wetu wanakimbia kufanya interview na wageni wanakimbilia kwa wenyeji.
Aibu kubwa hii kuna jamaa anaitwa Patrick nyembera pale AZAM ndo kituko kabisa clouds sitaki hata kuongea maana lwambano na priva baada ya good morning na how are you kinachofuata baada ya hapo ni aibu shafii dauda ndo wale wale.
Wachambuzi wetu wanapaswa wabadilike dunia inaenda kasi sana na technology inabadilika hizi simba na yanga zisiwafanye nyinyi ni kina roy Keane na Thierry Henry kwenye uchambuzi wakati kubadilisha article ya kiingereza tu kwenda kwenye kiswahili wengi wao ni mtihani wanatakiwa wajiongeze kwenye eneo hilo bahasha siziwalemaze akili wakati ni empty kichwani.
NB: Bila kupitisha sheria ngumu hili eneo linaenda kuwa bomu hawa wanasheria wahasibu na afisa ugavi pamoja na walimu warudi kwenye fani zao mpira una wenyewe au warudi shule wakasome.
Yule demu wa AzamCoach how do you feel after the match swali
Kama anaulizwa mgonjwa vile [emoji1787]