Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
i think ulichoandika hakiendani na jibu langu.
i dont care aliwabana akina nani.
sitaki hata kuwajua.
my concern ni security ya nchi. not political noise.
And nikukumbushe tu usipende kuish kwenye vivuli vya watu.
JPM is gone yes, tuko na utawala mpya, na tutaendelea kupata marais wenye character tofauti tofauti..
cha msingi ni kubaki kwenye njia kuu. na sio kulilia kivuli cha mtu ambae hayupo.
You are being too obvious. One just needs common sense to know you are one of them. If u know you know
you are right , but they are also misleading and un-reliable.Unfortunately, political noises are the loudest kind and so infectious that nothing remains pure! Nothing!
Dini zetu zilikuja na wakoloni, wakoloni walikuwa wanakula, kunywa na kusali pamoja na wamisionari bila kukemeana, waliondoka wakoloni wakabaki wamissionari. Basi kama A =b na b = c basi a = c pia.Kwenye wasifu wa marehemu JPM, TL ameandika chanzo cha habari za raisi kuwa mgonjwa alizipata kutoka Marekani na Afrika Kusini. Na alizipata habari hizo siku 3 kabla hajaaandika Twitter. Mbona hamjiulizi Wamarekani wanapata wapi COVID data za kuwaonya raia watu wachukue tahadhari na safari za kuja Tanzania? Serikali hazitoi hizi takwimu sasa Wamarekani hata Waingereza wanazipataje?
Ile Ni movie hamna misheni pale bro ndio maana nikafananisha na waliouliwa na USA kiukweli waliuawa mubashara.nafikir una miss the point hapo. sijaandika jinsi alivyo zikwa.
how the mission was carried ndio nilicho fafanua.
hiyo habari sijui lazikwa baharini sijui mbinguni.. mm sitaki kujua or kuwa interested.
narudia tena. i dont care ni movie or makorokocho gani . i am not a conspiracy theorist .. not a fan.Ile Ni movie hamna misheni pale bro ndio maana nikafananisha na waliouliwa na USA kiukweli waliuawa mubashara.
you are right , but they are also misleading and un-reliable.
in my own view we should listen to specific kind of noise.. on that politician dont pay attention to.
i think the truth its always in that 1% of voices, just it comes in pieces called rumors.
Sawa.narudia tena. i dont care ni movie or makorokocho gani . i am not a conspiracy theorist .. not a fan.
Nime state key players .. tactical field teams & decision makers.
Kwa hiyo na ile mizinga anayotembea nayo ilikuwa ni show-off tu?Na ndo maana Mzee alinyeshwa sumu ulinzi Ni mbovu
Tiss ishakuwa ni ccm. Haishangazi hata kidogo.Mwamba ameongelea ethics za TISS za sasa zimebadilika sana??, Yaani mtu yupo Ubelgiji ndo anatoa taarifa za mjomba?? Ni ukweli usiopingika kuwa kuna kundi la watu hapo TISS ndo wamempa taarifa huyo jamaa wa Ubelgijj. Na hii yote ni kuwa TISS na huku ni mwana CCM.
Awe CCM kwa kazi maalumu tuu. Lkn siyo kuwa kindakindaki. Tunaitaji kuwa na Strong institution na siyo strongmen. Pumuzika kwa amani mwamba JPM! UlichokifanyaTz!
Kwa kila m tz wa kweli na mwenye machungu na nchi yake ni lazima akulilie kwa uchungu. Kazi umeifanya JPM! Umeiyachia Tz heshima hapa duniani na kwa familia yako kwa ujumla.
Na Hao ndio walio changia kifo chakeJamani rais alikuwa anawalaza njaa watu wengi ambao walizoea pesa nyingi za rushwa, kuchukua kwa "kazi maalum" na za safari za nje kila wakati. Kwa vyovyote vile hawezi kutokea rais mwingine kama Magufuli hadi ipite miaka mingi. Ndio maana muda wote alikuwa akisema hadharani kuwa nimeyatoa sadaka maisha yangu kwa watanzania, lakini watu hawakuwa serious kujua rais alikuwa na maana gani kusema vile.
Mizinga Na sumu wapi Na wapi ziko sumu hata zakupaka wewe vipiKwa hiyo na ile mizinga anayotembea nayo ilikuwa ni show-off tu?
Waiting in vain. Magufuli mna mu-over rate.Jamani rais alikuwa anawalaza njaa watu wengi ambao walizoea pesa nyingi za rushwa, kuchukua kwa "kazi maalum" na za safari za nje kila wakati. Kwa vyovyote vile hawezi kutokea rais mwingine kama Magufuli hadi ipite miaka mingi. Ndio maana muda wote alikuwa akisema hadharani kuwa nimeyatoa sadaka maisha yangu kwa watanzania, lakini watu hawakuwa serious kujua rais alikuwa na maana gani kusema vile.