Tanzania hatutakuja kuendelea kamwe kama tutairuhusu CCM iendele kutuongoza

maandamano

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2025
Posts
726
Reaction score
1,548
Yaani huu ndiyo ukweli wenyewe tusitegemee kama tutakuja kupata maendeleo chini ya Serikali ya CCM.

Wanachopigania wao ni kuendelea kubaki madarakani lakini siyo kuiona inchi inapata maendeleo.

Haiwezekana watu smart wenye akili kubwa na uwezo wa kutuongoza wako inje halafu mtu anajaza familia yake hivi inaingia akilini kweli mfano Polepole badala ya kumpa uongozi unamteka na kumpoteza,Tundu lissu unamfunga gerezani na kuwa na wabunge na bunge dhaifu,na Viongozi wanataka wanapompa mtu cheo kwanza lazima awe chawa wa kusifia na kujipendekeza kwao.

huwezi kujipima au kujikosoa ukayaona mapungufu yako kwa mtu anayekusifia, na huwezi kuwalipa pesa watu ili wakusifie lazima ujue una mapungufu makubwa hustaili hata kuwa kiongozi wa familia yako
Mfano mdogo kila mwaka wanamaliza wananafunzi vyuoni karibu asilimia 80 lakini serikali inabaki kuajili wastani wa asilimia 5, wameshindwa kutengeneza ajira kwa kushirikiana na sekta binafsi kama wawekezaji maana kwa upumbavu wao wameweka mazingira magumu ya uwekezaji na hata akiwekeza kama atataka haki za kimahakama bado mahakama zetu haziko huru pindi migogoro inapotokea kati ya muwekezaji na serikali.

Nini kifanyike dawa ni kupaza sauti kila mmoja ulipo tuungane na wale wote wanaopingana na huu utawala halamu kwa njia yoyote ile manaa hatuwezi kuitoa tena hii serikali kwa njia ya sanduku la kura namini bado tuna nafasi ya kujipanga tena iwe kwa maandamano na kuwagomea hawa viongozi dhalimu na tujielekeza kwa wanaharakati wote wanaoitakia mema inchi bila kusahau kanisa katoliki pamoja na baadhi ya mashehe na jamii yote kwa ujumla.

Ipo siku tutampata mtawala wa kweli atakayeijali Tanzania na maslai ya wananchi wake bila kujali itikadi ya vyama.

KWA KUDRA ZA MUNGU TUTAFIKA
 
Yaani huu ndiyo ukweli wenyewe tusitegemee kama tutakuja kupata maendeleo chini ya Serikali ya CCM,Wanachopigania wao ni kuendelea kubaki madarakani lakini siyo kuiona inchi inapata maendeleo,
Haiwezekana watu smart wenye akili kubwa na uwezo wa kutuongoza wako inje halafu mtu anajaza familia yake hivi inaingia akilini kweli mfano Polepole badala ya kumpa uongozi unamteka na kumpoteza,Tundu lissu unamfunga gerezani na kuwa na wabunge na bunge dhaifu,na Viongozi wanataka wanapompa mtu cheo kwanza lazima awe chawa wa kusifia na kujipendekeza kwao,
huwezi kujipima au kujikosoa ukayaona mapungufu yako kwa mtu anayekusifia,na huwezi kuwalipa pesa watu ili wakusifie lazima ujue una mapungufu makubwa hustairi hata kuwa kiongozi wa familia yako
Mfano mdogo kila mwaka wanamaliza wananafunzi vyuoni kalibu asilimia 80 lakini serikali inabaki kuajili wastani wa asilimia 5,wameshindwa kutengeneza ajila kwa kushirikiana na sekta binafsi kama wawekezaji maana kwa upumbavu wao wameweka mazingira magumu ya uwekezaji na hata akiwekeza kama atataka haki za kimahakama bado mahakama zetu haziko huru pindi migogoro inapotokea kati ya muwekezaji na serikali
Nini kifanyike dawa ni kupaza sauti kila mmoja ulipo tuungane na wale wote wanaopingana na huu utawala halamu kwa njia yoyote ile manaa hatuwezi kuitoa tena hii serikali kwa njia ya sanduku la kura namini bado tuna nafasi ya kujipanga tena iwe kwa maandamano na kuwagomea hawa viongozi dhalimu na tujielekeza kwa wanaharakati wote wanaoitakia mema inchi bila kusahau kanisa katoliki pamoja na baadhi ya mashehe na jamii yote kwa ujumla ipo siku tutampata mtawala wa kweli atakayeijali Tanzania na maslai ya wanainchi wake bila kujali itikadi ya vyama
KWA KUDRA ZA MUNGU TUTAFIKA
Mabeyo alaaniwe milele
 
CCM ndo maendeleo yenyewe
Nyie vibaraka wa mabeberu mtanyooshwa na watanzania kwenye chaguzi. Nyie tukaneni mtalipwa kwenye sanduku la kura

Na 2030 tunaleta chuma kingine cha CCM
 
Moja kati ya makosa tunafanya ni kumwacha Tundu Lisu abaki gerezani.

Huyu ndiye anafaa awe rais wa Tanzania.

Historia yake nzuri isiyo na mawaa inampatia point ya juu kabisa kuaminiwa.
 
CCM ndo maendeleo yenyewe
Nyie vibaraka wa mabeberu mtanyooshwa na watanzania kwenye chaguzi. Nyie tukaneni mtalipwa kwenye sanduku la kura

Na 2030 tunaleta chuma kingine cha CCM
Unajua kama unalipwa pesa kwa ajili ya kutetea Viongozi, unakuwa huna tofauti na malaya wa kwenye madanguro ambaye anatumikishwa kufanya ngono halafu pesa inaenda kwa bosi wake,
Uchaguzi unaousema wa kuwafunga wapinzani halafu bado watu wakakata kwenda kupiga kura na machafuko juu bila aibu mtu anasema kashinda kura kwa asilimia 98 na anaenda kuapishwa kwenye uwanja wa kijeshi bila wapiga kura wake kuwepo?
Jiangalie unatumika vibaya sana
 
CCM SIO TATIZO LA HII NCHI , HATA CHADEMA WAKIKAA HAPO IKULU MWAKA 20100 BADO HAWATAIBADILISHA HII NCHI
 
Unajua kama unalipwa pesa kwa ajili ya kutetea Viongozi, unakuwa huna tofauti na malaya wa kwenye madanguro ambaye anatumikishwa kufanya ngono halafu pesa inaenda kwa bosi wake,
Uchaguzi unaousema wa kuwafunga wapinzani halafu bado watu wakakata kwenda kupiga kura na machafuko juu bila aibu mtu anasema kashinda kura kwa asilimia 98 na anaenda kuapishwa kwenye uwanja wa kijeshi bila wapiga kura wake kuwepo?
Jiangalie unatumika vibaya sana
Hakuna mtu anayelipwa.
Tanzania Inataka kiongozi mzalendo na huyo kiongozi yupo CCM tu, siyo Hawa vibaraka wa mabeberu kutwa wanashinda kwenye bunge la ulaya
 
CCM ndo maendeleo yenyewe
Nyie vibaraka wa mabeberu mtanyooshwa na watanzania kwenye chaguzi. Nyie tukaneni mtalipwa kwenye sanduku la kura

Na 2030 tunaleta chuma kingine cha CCM
CCM haiwezi kushinda kwenye sanduku la kura, hilo mnalijua vizuri
 
Hakuna mtu anayelipwa.
Tanzania Inataka kiongozi mzalendo na huyo kiongozi yupo CCM tu, siyo Hawa vibaraka wa mabeberu kutwa wanashinda kwenye bunge la ulaya
Mzalendo hawezi kuua watu wake, mzalendo hawezi kuuza rasilimali za nchi, mzalendo haogopi wakosoaji
 
Hakuna mtu anayelipwa.
Tanzania Inataka kiongozi mzalendo na huyo kiongozi yupo CCM tu, siyo Hawa vibaraka wa mabeberu kutwa wanashinda kwenye bunge la ulaya
Na Kombo ni mmojawapo wa vibaraka wanaoshinda kwa mabeberu? Acha mihemko utamtukana mkweo ukose mme!
 
Yaani huu ndiyo ukweli wenyewe tusitegemee kama tutakuja kupata maendeleo chini ya Serikali ya CCM.

Wanachopigania wao ni kuendelea kubaki madarakani lakini siyo kuiona inchi inapata maendeleo.

Haiwezekana watu smart wenye akili kubwa na uwezo wa kutuongoza wako inje halafu mtu anajaza familia yake hivi inaingia akilini kweli mfano Polepole badala ya kumpa uongozi unamteka na kumpoteza,Tundu lissu unamfunga gerezani na kuwa na wabunge na bunge dhaifu,na Viongozi wanataka wanapompa mtu cheo kwanza lazima awe chawa wa kusifia na kujipendekeza kwao.

huwezi kujipima au kujikosoa ukayaona mapungufu yako kwa mtu anayekusifia, na huwezi kuwalipa pesa watu ili wakusifie lazima ujue una mapungufu makubwa hustaili hata kuwa kiongozi wa familia yako
Mfano mdogo kila mwaka wanamaliza wananafunzi vyuoni karibu asilimia 80 lakini serikali inabaki kuajili wastani wa asilimia 5, wameshindwa kutengeneza ajira kwa kushirikiana na sekta binafsi kama wawekezaji maana kwa upumbavu wao wameweka mazingira magumu ya uwekezaji na hata akiwekeza kama atataka haki za kimahakama bado mahakama zetu haziko huru pindi migogoro inapotokea kati ya muwekezaji na serikali.

Nini kifanyike dawa ni kupaza sauti kila mmoja ulipo tuungane na wale wote wanaopingana na huu utawala halamu kwa njia yoyote ile manaa hatuwezi kuitoa tena hii serikali kwa njia ya sanduku la kura namini bado tuna nafasi ya kujipanga tena iwe kwa maandamano na kuwagomea hawa viongozi dhalimu na tujielekeza kwa wanaharakati wote wanaoitakia mema inchi bila kusahau kanisa katoliki pamoja na baadhi ya mashehe na jamii yote kwa ujumla.

Ipo siku tutampata mtawala wa kweli atakayeijali Tanzania na maslai ya wananchi wake bila kujali itikadi ya vyama.

KWA KUDRA ZA MUNGU TUTAFIKA
Bila Vita ya wenyewe kwa wenyewe au jeshi kupindua nchi usitegemee mabadiliko na maendeleo Tanganyika.

Damu lazima iendelee kumwagika, kwa hiari au lazima ili watawala wapate akili na hofu ya kufanya watakavyo.

Wameendelea kuua. Na polisi wamekuwa wehu, vichaa na mashetani. Tarehe 26/12/2025 wamepiga risasi bila maandamano mkoa fulani na kumuua mtembea kwa miguu.
 
Back
Top Bottom