Tanzania have 279 GDP if they will include informal sector

cordoba

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
686
Reaction score
962
Tanzania is among of the countries with the largest informal sector compared to the informal ones, if they will include the informal sector their country economy will be tripple and one of the biggest and healthy economy
 
Soma hiyo sentensi yako tena halafu utingize kichwa hivi!!!
 
Tanzania is among of the countries with the largest informal sector compared to the informal ones, if they will include the informal sector their country economy will be tripple and one of the biggest and healthy economy
Hilo tumeshalisema sana hapa, sehemu kubwa ya Tanzania (naamini 85%) biashara haitambuliki. Unga, chumvi, maharage , mahindi, nyama n.k vinapimwa kwa kibaba, serikali hata haina habari kama kuna biashara imefanyika. Tena hiyo $279 mil ni kadirio la chini.

Katika kitu ambacho ningemshauri Rais kwenye kodi ni kutengneza mfumo rafiki wa kuruhusu rekodi hizi za kibiashara ziwe zinanakiliwa.
 
Wacheni maneno mengi sio Tanzania pekee nchi zote za sub Saharan Africa apart from South Africa informal sector ina account for 80% ya gdp but huwa hazihesabiwi.
 
Wacheni maneno mengi sio Tanzania pekee nchi zote za sub Saharan Africa apart from South Africa informal sector ina account for 80% ya gdp but huwa hazihesabiwi.
Siyo zote, Kenya, Zimbabwe, Botswana, Namibia n.k bidhaa zao nyingi za vyakula nchi hizo zipo kwenye packages, hivyo serikali zao zinajua kiasi kikubwa cha biashara inayofanyika.
 
Siyo zote, Kenya, Zimbabwe, Botswana, Namibia n.k bidhaa zao nyingi za vyakula nchi hizo zipo kwenye packages, hivyo serikali zao zinajua kiasi kikubwa cha biashara inayofanyika.
Leta ushahidi juu sitaki tubishane vitu vya kipuuzi....
 
Leta ushahidi juu sitaki tubishane vitu vya kipuuzi....
Matusi ya nini? Huwezi kuhoji kwa staha?

Botswana na Namibia chumi zao zina mfumo kama wa SA wao hawanunui bidhaa za magengeni kama Tanzania.

Zimbabwe, walowezi akina Ian Smith waliweka mfumo wa kuwa na wakulima wakubwa wachache ambao wanauza mazao kwenye viwanda ambavyo vinaongeza thamani na kuweka kwenye mifuko/maboksi/makopo na kuuza kwenye supermarket. Ndiyo maana ilikuwa rahisi kum-fix Mugabe alipowanyang'anya walowezi mashamba.

Kenya kwa kiasi kuna mfumo huo huo ambao mwanzo uliwekwa na waingereza na baada ya uhuru ukaendelezwa. Mfano biashara ya maziwa hakuna mkenya anayeweza shindana na familia ya Kenyatta.

Tanzania biashara ya maziwa kwa kiasi kikubwa inaendeshwa na mtu mmoja mmoja, huku maziwa yakiuzwa bila ya kuongezewa thamani. Hivyo kuacha kiasi kikubwa cha uchumi kutokurekodiwa na hivyo kushusha kiwango cha GDP.
 
Uko sawa mkuu, wakenya juzi wamepitishiwa sheria ya kutouza maziwa kama huku bongo yanavyouzwa
 
kenya ni yao ila hawaijui.
 
Before 2010 we discussed at lengthy (in here -JF) on why the sub Sahara Africa GDP does not give the true picture of economy?
In final analysis we found that,
THERE ARE A LOT OF UNREGISTERED BUSINESSES (including real estate registration) AND UNRECORDED TRANSACTIONS (including real estate transactions). This accounts about 85% of all businesses in the economy.
For instance in Tanzania many pieces of land in urban areas are not planned, hence not registered and eventually not paying taxes and levies. This goes to real estate transactions, a lot of unregistered pieces of land in urban areas are sold or changing hands UNRECORDED and unrecognised, hence no levies on such transactions. Again there are a lot of informal rentals or leases in real estate such as frames, shops, houses etc are going without paying rental taxes from the real estate owners.
Sub Saharan Afrika has to adopt the technique which are deployed by other places of this globe. The changing of dead capital to live ones as prof. Hernando de Soto advised in his infamous book The Myth of Capital. Other continents use the space to monitor the earth, i.e. GIS. This technology can give a proper solution to spatial challenge. The spatial technology can solve all issues related to real estate. The emerging of unmanned air vehicle (UAV) make job more simple.

However, other enterprises need to captured in order to realise their potential.
 
Hah nothing like that,
Na mbona hakuna mzunguko wa pesa ya maana Tanzania...
 
Hah nothing like that,
Na mbona hakuna mzunguko wa pesa ya maana Tanzania...
Ni kwasababu pesa chafu zimeondolewa kwenye mzunguko katika awamu hii.

kipindi cha Mwinyi (1991-1995) kulikuwa na mzunguko mkubwa sana kwasababu serikali ilichapisha sarafu nyingi. Watu waliacha kufanya kazi kwa kuwa pesa zilikuwepo nyingi mitaani, japokuwa hazikuakisi uchumi. Pesa hizo zilizozunguka hazikutokana na uzalishaji, hivyo hoja ya pesa nyingi mitaani siyo kigezo cha uchumi imara.
 
Yaaa bro.
Tanzania distanced itself from a bandit economy.
 
Sometimes ni vizuri kukubali ukweli ata kama unalipwa kutetea serikali,ati uzalendo.
 
Wabongo bana na porojo zao. Huwa wanaiponda GDP ya Kenya ila na wao pia wanatamani wangekuwa na GDP kubwa zaidi. Usidhubutu kuwauliza kwanini wanatamani 'GDP kubwa ya makaratasi', watakuroga bure.
 
Wabongo bana na porojo zao. Huwa wanaiponda GDP ya Kenya ila na wao pia wanatamani wangekuwa na GDP kubwa zaidi. Usidhubutu kuwauliza kwanini wanatamani 'GDP kubwa ya makaratasi', watakuroga bure.
Sema hivyo tena na tena mkuu. Halafu wanapenda sana kusema "Dar is the largest city in EA" lakini its just in population sio kiuchumi wala kimaendeleo.
 
Tanzania is among of the countries with the largest informal sector compared to the informal ones, if they will include the informal sector their country economy will be tripple and one of the biggest and healthy economy
Sasa wewe kama hauwezi kuandika sentensi na sarufi timamu pekee utaweza mambo mazito ya kiuchumi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…