eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Wabongo bana na porojo zao. Huwa wanaiponda GDP ya Kenya ila na wao pia wanatamani wangekuwa na GDP kubwa zaidi. Usidhubutu kuwauliza kwanini wanatamani 'GDP kubwa ya makaratasi', watakuroga bure.
Siyo usidhubutu bali ni usithubutu...