Tanzania, Hips na Makalio ndo kigezo cha kumfanya mtu awe Celebrity?

Tanzania, Hips na Makalio ndo kigezo cha kumfanya mtu awe Celebrity?

Mkuu hata mimi ningekuwa na pesa ndefu..
Ningefanya juu chini niule huo mzigo hata kwa mil 2..
Ule msabwanda ni mtaji mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah hapo kuna mtu kaweka hela kwenye kodi ya hilo duka la vyupi. Anatoboa nukta nunu mda wowote anaojiskia. Huyo malaya ukiondoa huo mkundu hana la ziada utamuua njaa.

Wanawake wa Dar hatari sana yani alijiimbia wakazi.
 
Last Friday ,eatv nmemuona amber ruty akiojiwa nikajiuliza thamani ya TV na ududu nnaoona,limoja limesuka et ndo limme ,alaf lingne nnadai limemtungua amber ruty juz juzi yaan full uduvi.
 
Hello guys

Nimeshangaa kuona Posh Queen anakuwa interviewed na Diva the Bawse wa Clouds. who is she? Ana kipaji gani?

Achievements zake kubwa za kuishangaza Tanzania ni zipi? Au umaarufu wake umekuja kisa ana hips na makalio makubwa?

Kama ni hips na ukubwa wa makalio mbona wadada wengi wa mjini wana makalio makubwa na mazuri kuliko ya Poshy? Hivi makalio yake yana nini?

Yani makalio makubwa yana umuhimu kiasi hicho hapa Tanzania mpaka umu-interview MTU kwenye Media House kubwa hapa Tanzania kisa anayo makalio makubwa? Kweli mwisho wa dunia umefika.

Halafu nina mashaka kuwa Posh Queen anatoa tigo, coz kutwa anayaonesha na kuyatingisha makalio yake kwenye mitandao ya kijamii.

Picha wapi?
 
Tatizi sio Posh tatizo ni Uyo Mwenye kipindi sijui tunaelewana?..
 
Huyo Dada ni mmoja kati ya wale watu wa hovyo aliowasema Makonda. Wanapewa fursa hadi ya kuhudhuria bungeni kwa mambo yao ya hovyo wanayoyafanya mitandaoni
 
57763938_859784847716320_8943682411468789297_n.jpg
 
Back
Top Bottom