Tanzania, Hips na Makalio ndo kigezo cha kumfanya mtu awe Celebrity?

Tanzania, Hips na Makalio ndo kigezo cha kumfanya mtu awe Celebrity?

Wanaume ndio tunasababisha hii hali. Inabidi wanaume wote tubadilike tuanze kugombania wanawake flat screen sony wega kama wazungu.. 😀
 
Wanaume ndio tunasababisha hii hali. Inabidi wanaume wote tubadilike tuanze kugombania wanawake flat screen sony wega kama wazungu.. 😀

Hilo halitotokezea. Kama Kaimu Mwenyekiti silipitisha. Chura ndio mpango mzima
 
Celebrity is the fame and public attention accorded by the mass media to individuals or groups or, occasionally, animals, but is usually applied to the persons or groups of people (celebrity couples, families, etc.) themselves who receive such a status of fame and attention. Celebrity status is often associated with wealth (commonly referred to as fame and fortune), while fame often provides opportunities to earn revenue.

Successful careers in sports and entertainment are commonly associated with celebrity status,[1][2] while political leaders often become celebrities. People may also become celebrities due to media attention on their lifestyle, wealth, or controversial actions, or for their connection to a famous person.
 
Hello guys

Nimeshangaa kuona Posh Queen anakuwa interviewed na Diva the Bawse wa Clouds. who is she? Ana kipaji gani?

Achievements zake kubwa za kuishangaza Tanzania ni zipi? Au umaarufu wake umekuja kisa ana hips na makalio makubwa?

Kama ni hips na ukubwa wa makalio mbona wadada wengi wa mjini wana makalio makubwa na mazuri kuliko ya Poshy? Hivi makalio yake yana nini?

Yani makalio makubwa yana umuhimu kiasi hicho hapa Tanzania mpaka umu-interview MTU kwenye Media House kubwa hapa Tanzania kisa anayo makalio makubwa? Kweli mwisho wa dunia umefika.

Halafu nina mashaka kuwa Posh Queen anatoa tigo, coz kutwa anayaonesha na kuyatingisha makalio yake kwenye mitandao ya kijamii.
Acha kuhojiwa na Diva, alishaalikwa hadi bungeni na Spika Ndugai!
 
Back
Top Bottom