joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kenya trails neighbours in chicken consumption due to production costs
About 92.6pc of those polled in Kenya are frequent consumers against Ugandaβs 95.4pc and 93.5pc for Tanzania.
Utafiti uliofanywa huko Kenya unaonyesha kwamba, kwa wastani kila mtanzania mmoja anakula kuku Mara kumi zaidi ya mkenya. Tafiti hiyo hiyo imeonyesha kwamba, kila Mganda mmoja hutumia kuku Mara mbili ya mkenya.
Sababu kubwa iliyobainishwa ni gharama kubwa za uzalishaji kuku Kenya, zinazofanya bei ya kuku kuwa kubwa na kuwafanya wakenya wengi kushindwa kununua. Hali kama hiyo pia imejitokeza katika utumiaji wa nyama ya nguruwe na ng'ombe.
Hii ni dalili tosha kwamba, gharama za maisha Kenya zimeongezeka sana kiasi cha wananchi kushindwa kumudu chakula. Haishangazi pale tafiti zingine zilipoonyesha kwamba wakenya wanaongoza kwa kupenda kuikimbia nchi yao na kutaka kuishi nje ya Kenya ikiwemo Tanzania.