Tanzania hitumia 'Kuku" Mara kumi zaidi ya Kenya kwa mwaka.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Utafiti uliofanywa huko Kenya unaonyesha kwamba, kwa wastani kila mtanzania mmoja anakula kuku Mara kumi zaidi ya mkenya. Tafiti hiyo hiyo imeonyesha kwamba, kila Mganda mmoja hutumia kuku Mara mbili ya mkenya.

Sababu kubwa iliyobainishwa ni gharama kubwa za uzalishaji kuku Kenya, zinazofanya bei ya kuku kuwa kubwa na kuwafanya wakenya wengi kushindwa kununua. Hali kama hiyo pia imejitokeza katika utumiaji wa nyama ya nguruwe na ng'ombe.

Hii ni dalili tosha kwamba, gharama za maisha Kenya zimeongezeka sana kiasi cha wananchi kushindwa kumudu chakula. Haishangazi pale tafiti zingine zilipoonyesha kwamba wakenya wanaongoza kwa kupenda kuikimbia nchi yao na kutaka kuishi nje ya Kenya ikiwemo Tanzania.
 
Duh hii failed state inatisha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu mbona unawapeleka huko mbali sanaaaa....Mkenya akila kuku anapost twitter, "mko wapi..??" 😂😂😂😂 Nakuomba usilete thread kama hii..Wewe ongelea mahindi na maparachichi...
 
Eti Mara 10 zaidi ?....how did you arrive at such a figure ama umeisoma wapi Kwenye hio article?
IMG_20190924_155955_620.jpg
 
Haha watu washindwe kula sima na sukuma wiki, sembuse kuku kabisa.
 
''An estimated 92.6 percent of those polled in Kenya said..''

This is an opinion poll. Not hard food consumption numbers. There are recognized bodies which release real data.
 
Chicken meat consumption in Kenya is the lowest in Africa while it's the highest in Tanzania
Screenshot_2019-09-24-16-15-42.png
 
Mido inikamu kantrii [emoji23][emoji23][emoji23]

Tanzania ndio yenye factory kubwa ya kuzalisha first generation species za broilers and layers Africa nzima japo pia kwenye kuku wa kienyeji Tanzania inaongoza ndio maana ni ngumu sana katika miji 10 kukosa angalau miji 7 inayofuga kuku sio kijijini sio mijini so lazima tuongoze

😂😂😂 Mido ikamu wao wakomae tu na Githeri japo mahindi yenyewe bado tunawapa sie
 
Back
Top Bottom