Tanzania hitumia 'Kuku" Mara kumi zaidi ya Kenya kwa mwaka.

Tanzania hitumia 'Kuku" Mara kumi zaidi ya Kenya kwa mwaka.

Nairobians to pay Sh25 tax for every chicken brought from up-country
[emoji23][emoji23][emoji23]



Tanzania ndio yenye factory kubwa ya kuzalisha first generation species za broilers and layers Africa nzima japo pia kwenye kuku wa kienyeji Tanzania inaongoza ndio maana ni ngumu sana katika miji 10 kukosa angalau miji 7 inayofuga kuku sio kijijini sio mijini so lazima tuongoze

[emoji23][emoji23][emoji23] Mido ikamu wao wakomae tu na Githeri japo mahindi yenyewe bado tunawapa sie
 
Mkuu mbona unawapeleka huko mbali sanaaaa....Mkenya akila kuku anapost twitter, "mko wapi..??" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nakuomba usilete thread kama hii..Wewe ongelea mahindi na maparachichi...
Nini kuku Chapo ni chakula cha anasa Kenya,MTU akinunua. chapo anapita mitaani na soda huku anakula
 
Tangu lini msukuma akajua kupika tuzi la maana...watanzania bana
Ndio alafu ukafungue biashara ya kuuza chapati [emoji23][emoji23][emoji23] maana wanapenda chapati balaa alafu hawajui sasa kupika kama wapishi wa bongo wanavyojua kupika.
 
So what is your point...?? 😂😂😂 Unataja KFC ili tuogope...???

Kwanini uogope? Has your inferiority complex reached that far.
Anyway, nakuelewa. Mpaka hizo KFC za Tanzania ni franchise tu ya kutoka Kenya.
 
Back
Top Bottom