Tanzania HIV Impact Survey

Kusini Unguja na Kaskazini Pemba hakuna ngoma kabisa unaweza ukagonga DRY,Hawa mademu wanaojiuza ndio wanaosambaza ngoma sana,visiwa vya pemba na unguja hiyo biashara ipo lakini kwa kificho na inafanywa na wanawake wa bara wanaofanya kazi kwenye mahotel.

Njombe na iringa ni noma rate ni 11.4%

Dodoma,Shinyanga,geita,katavi na Dar-es-salaam ni hatari 5, 5.9 , 5 , 5.9 na 5 respectively .(%)

Mwanza 7.2%
 
Tanzania kuna Soko huria 😀😀
 
Kumbe bado hatuna waathirika wengi. Hata hivyo, tatizo ni kwamba wanaume hawapimi
 
Ukicheki kwa makini mikoa ya kusini lama mbeya,njombe,iringa bado inaongoza kwa maambukizi.
Ukicheck statistics wanaume 25-35 ni 25% ya maambukiz while wanawake wakiongoza.

Juhud zinahitajikasana
 
Kwenye maambukizi Makubwa ni sehemu zenye Baridi....Iringa, Njombe, Mbeya nk.

Wenzetu wenye Baridi nchi nzima na kwa karibia robo tatu ya Mwaka hii kitu haipo kabisa....

Inakuaje sisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…