Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania kuna Soko huria 😀😀Kusini Unguja na Kaskazini Pemba hakuna ngoma kabisa unaweza ukagonga DRY,Hawa mademu wanaojiuza ndio wanaosambaza ngoma sana,visiwa vya pemba na unguja hiyo biashara ipo lakini kwa kificho na inafanywa na wanawake wa bara wanaofanya kazi kwenye mahotel.
Njombe na iringa ni noma rate ni 11.4%
Dodoma,Shinyanga,geita,katavi na Dar-es-salaam ni hatari 5, 5.9 , 5 , 5.9 na 5 respectively .(%)
Mwanza 7.2%
Hatupimi ndio, sababu kupima pima utakuta unachokitaftaKumbe bado hatuna waathirika wengi. Hata hivyo, tatizo ni kwamba wanaume hawapimi