Tanzania hoi kwa furaha duniani

Tanzania hoi kwa furaha duniani

Mkulima

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2007
Posts
1,236
Reaction score
1,546
Report mpya ya UN inayozungumzia furaha kwa mataifa ya dunia imetoka tarehe 24 March na Tanzania imekuwa ya 131 kati ya nchi 143.

Miaka ya karibuni Tanzania ilikuwa ndani ya kumi za mwisho. Mwaka huu tumetoka kwenye hizo kumi za mwishoni.

IMG_3739.jpeg

Hii ni sawa na mwanafunzi aliyefeli lakini anafurahia kwa vile katika mpangilio wa majina, jina lake limetangulia kuorodheshwa.

Siku zote, balow 50%, wewe ni failure.
 
Asa mtu unapata wapi furaha ukigeuka huku Makonda ukigeuka huku sukari hamna mara polisi wameruhusiwa kuchukua ya kubrashi viatu mara unasikia kitita kipya nhif kimetoka
 
Nikashangaa eti mama juzi anaongea eti Tanzania ni ya 4 sijui 6,sijui 8 kwa furaha?.
Nikacheka. Nikajua tayari machawa wamefanikiwa kumuingiza mama chaka au kujifariji ingali ukijua kabisa 90% ya wananchi masikini wa kutupwa watapata wapi furaha il-hali mlo mmoja tu kwa siku unawasumbua?.

Achilia mbali watapata wapi furaha il-hali wale wenye kutumia nguvu kutafuta riziki kwa kutumia umeme unawakatikia siku nzima.
Wafanyabiashara kunyanyaswa na TRA watapata wapi furaha?
 
Back
Top Bottom