Tanzania hoi kwa furaha duniani

Tanzania hoi kwa furaha duniani

Report mpya ya UN inayozungumzia furaha kwa mataifa ya dunia imetoka tarehe 24 March na Tanzania imekuwa ya 131 kati ya nchi 143.

Miaka ya karibuni Tanzania ilikuwa ndani ya kumi za mwisho. Mwaka huu tumetoka kwenye hizo kumi za mwishoni.

View attachment 2945752
Hao UN ni waonevu! Tanzania tulistahili kabisa kuwemo kwenye hizo nchi 5 bora kabisa za mwisho!

Katika nchi kama hii iliyooza kwa ufisadi, tozo, upigaji, mfumuko wa kutisha wa bei za bidhaa mbalimbali, upendeleo, ukosefu mkubwa wa ajira, maisha magumu, nk hiyo furaha unaitoa wapi? Hii nchi wenye furaha ni wachache sana. Wengi wanaishi na maumivu yasiyoisha kwenye mioyo yao.
 
Back
Top Bottom