Tanzania home to one of the top 10 universities in Africa

Chuo kinashindwa kumfundisha mwanafunzi wake kuandika aya moja tu kwa usahihi?!

Mtu asiyeweza kuandika au kujieleza anapataje First Class?

*Nenda sasa hivi uangalie namna anavyoandika Mwigulu, kila aya ina makosa walau 6-kwa kupunguza uongo.
Hahahahaha, ngoja nikachungulie.
 
mi nimesomea usister ,hebu tafuta vyuo vya masister nione chuo changu kina ubora gani
Kumbe umesomea usister mwenzangu? :A S 39: are you practicing?
what color is your uniform? Unaweza niazima mara moja? lol
 
hahah siajwahi kwenda Mogadishu (Somalia) ila nimebahatika kusoma na Wasomali nje ya nchi, na walikuwa na darasa lao maalumu.
Yaani waalimu walikuwa wanalalamika namna wale watu walivyo, jaribu kufikiria wanafunzi wa shule za msingi jinsi walivyo...basi ndivyo wale jamaa walivyokuwa...ni watukutu na kichwani hakuna kitu.
Pia, nikiangalia namna nchi yao ilivyokosa uongozi wa Kitaifa...vita za kikoo na kila aina ya kadhia ziendeleazo huko kwao.

Hahahaha, this is mean! have you ever been there? Sasa mbona unadoubt Uni ya wenzio?
 
Inaweza kua barrier ya lugha tu. Unajua Kenya wanaona watanzania hivo?
 
Hapana lugha haikuwa kikwazo tatizo maana kulikuwa na aina mbili za Wasomali, wapo waliokuwa wanatoka Mogadishu na wengine walikuwa wanatoka Canada(Hawa wanaishi huko tokea udogo wao, wazazi wao walienda huko kama wakimbizi).

Mpendwa bado inakuwa ngumu kuamini, ukosefu wa amani katika nchi ile ni wa hali ya juu.
Activities ndogo tu kama kucheza ligi za mpira wa miguu zimekuwa hazifanyiki, sasa huo muda wa watu kufanya Researches na ku-publish papers watautoa wapi?

Inaweza kua barrier ya lugha tu. Unajua Kenya wanaona watanzania hivo?
 
hebu Mwali, nisaidieni!! Vigezo ni vipi hasa? mimi nimekuwa sehemu zote mbili SUA na UDSM. kinacho nifanya niulize ni hivi, SUA wamefanya research nying mno, i real dought kam hawajawazidi UDSM, Phd na Project SUA ni nyingi sana!!! kwa UDSM fani ni nyingi kuliko SUA!! is this can cause SUA stay out of 100 and UDSM in 7/100? Meanwhile KAiruki is inclusively? No!!
Sp
 
Hii nchi imefikia hapa ilipo kutoka na wasomi wa hapo hapo UDSM kujaza kila idara. Nani anabisha kwamba karibia 80% ya viongozi wa hapa Tanzania ni wasomi kutoka UDSM? Na je nchi yetu kimaendele ikoje kutokana na hayo mafisadi from UD
 
Sua is among of the best university ila sijajua vigezo gani? Wanatumia da!
 
UDSM ni zamani. UDSM ya siku hizi ni incubator ya kuzalisha vilaza. Kama iko ktk top 10 basi ndio maana Africa tumefikia tulipo
 
Hii nchi imefikia hapa ilipo kutoka na wasomi wa hapo hapo UDSM kujaza kila idara. Nani anabisha kwamba karibia 80% ya viongozi wa hapa Tanzania ni wasomi kutoka UDSM? Na je nchi yetu kimaendele ikoje kutokana na hayo mafisadi from UD

wamesoma ila hawana uadilifu kwani dhana ya uadilifu pia ni ngum kuwa nayo hasa kwa m2 mwenye tamaa na asiye muopa mungu!
 
UDSM ni zamani. UDSM ya siku hizi ni incubator ya kuzalisha vilaza. Kama iko ktk top 10 basi ndio maana Africa tumefikia tulipo

haya,we mwenzetu uliyesoma oxford umeifanyia nini africa cha kukumbukwa?
 

OUTDATED PLEASE GET UPDATES FROM HERE https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...st-university-in-the-country.html#post6075949
 
haya,we mwenzetu uliyesoma oxford umeifanyia nini africa cha kukumbukwa?

Nimefungua orphanage ya watoto yatima. Nimepita hapo mlimani na sijasoma Oxford
Nayajua mapungufu yote ya pale mlimani na ndio maana nasema kama UDSM ni top 10 Africa nzima basi no wonder Africa tupo hapa tulipo
Nimehudhuria lectures hapo mlimani nikiwa namsikiliza lecturer huku nimesimama nje ya seminar room manake darasa limeshona na wengine wamekaa chini
Majority ya lecturers ni pumba tupu
 
Takwimu hizi yoyote anaweza kuzitengeneza (including Mukandala) na kuzirusha hewani, katika hali ya kujitafutia ujiko kwa JK ishu hapo ni kujua Authority ya hizo information. Haiingii akili UDSM kuwa ya 4 ikavishinda vyuo vya south Africa (Kwa Zulu-Natal) Egypt - Cairo,Nairobi....labda kama wanaangalia "IDADI YA MIGOMO" kama kigezo cha kuwa juu kwenye list.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…