Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,612
- Thread starter
- #21
Hahahahaha, ngoja nikachungulie.Chuo kinashindwa kumfundisha mwanafunzi wake kuandika aya moja tu kwa usahihi?!
Mtu asiyeweza kuandika au kujieleza anapataje First Class?
*Nenda sasa hivi uangalie namna anavyoandika Mwigulu, kila aya ina makosa walau 6-kwa kupunguza uongo.
