Tanzania Honey Business

Tanzania Honey Business

Kingdom_man

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2010
Posts
405
Reaction score
462
Hello!
Nafikiria kuanza hii biashara ya asali kuifanyia good packing na kuuza hapa Tanzania na neighboring countries.
Can someone tell me how is honey processed and the whole procedure.
Mashine gani nahitaji?
Asali ya mkoa gani ni Nzuri?
Kibali cha tbs kuuza Asali madukani?

Thanks!
1382515147544.jpg
 
View attachment 117911

Mtwangie huyu jamaa 0784295208
 
Mtwangie huyu jamaa 0784295208

Aise Malila nimeongea na huyu Mdau kanipatia details zote muhimu bila ya uchoyo sasa kazi kwangu Mambo yanawezekana.
Asante sana Malila. God bless
 
Jamani asali inalipa sana!! Binafsi nipo kwenye uwekezaji wa misitu, na asali ni mojawapo ya product yangu ninayoiona kwa ukaribu zaidi. In short ntafuga nyuki... Ntaleta updates muda si mrefu humu.
 
Misitu aina gani unayoendeleza? Na nyuki utafugia wapi kaka?
 
mikoa ni mingis sana inayolina asali ila angalia mkoa wa singida, kigoma waweza fanya biashara yako
hongera kwa hatua nzuri hiyo na hiyo kwenye picha ni asali ulioyolilna wewe au?
Hello!
Nafikiria kuanza hii biashara ya asali kuifanyia good packing na kuuza hapa Tanzania na neighboring countries.
Can someone tell me how is honey processed and the whole procedure.
Mashine gani nahitaji?
Asali ya mkoa gani ni Nzuri?
Kibali cha tbs kuuza Asali madukani?

Thanks!
View attachment 117911
 
mikoa ni mingis sana inayolina asali ila angalia mkoa wa singida, kigoma waweza fanya biashara yako
hongera kwa hatua nzuri hiyo na hiyo kwenye picha ni asali ulioyolilna wewe au?

Asante sana LadyFurahia. Hiyo siyo product yangu. Ila mimi ndio naelekea huko.

Mkiwakosa hao wote mtwangieni Mizengo Pinda.
Hahahaa. Sawasawa!
 
Jamani asali inalipa sana!! Binafsi nipo kwenye uwekezaji wa misitu, na asali ni mojawapo ya product yangu ninayoiona kwa ukaribu zaidi. In short ntafuga nyuki... Ntaleta updates muda si mrefu humu.
Vipi mkuu. Hii biashara ya asali inaendeleaje?!
 
Back
Top Bottom