Kingdom_man
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 405
- 462
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hello!
Nafikiria kuanza hii biashara ya asali kuifanyia good packing na kuuza hapa Tanzania na neighboring countries.
Can someone tell me how is honey processed and the whole procedure.
Mashine gani nahitaji?
Asali ya mkoa gani ni Nzuri?
Kibali cha tbs kuuza Asali madukani?
Thanks!
View attachment 117911
Mtwangie huyu jamaa 0784295208
Asante Malila. Ntamcheki
Mtwangie huyu jamaa 0784295208
Ngoja na mimi nimtwangie..!Aise Malila nimeongea na huyu Mdau kanipatia details zote muhimu bila ya uchoyo sasa kazi kwangu Mambo yanawezekana.
Asante sana Malila. God bless
Ngoja na mimi nimtwangie..!
Jamani asali inalipa sana!! Binafsi nipo kwenye uwekezaji wa misitu, na asali ni mojawapo ya product yangu ninayoiona kwa ukaribu zaidi. In short ntafuga nyuki... Ntaleta updates muda si mrefu humu.
Hello!
Nafikiria kuanza hii biashara ya asali kuifanyia good packing na kuuza hapa Tanzania na neighboring countries.
Can someone tell me how is honey processed and the whole procedure.
Mashine gani nahitaji?
Asali ya mkoa gani ni Nzuri?
Kibali cha tbs kuuza Asali madukani?
Thanks!
View attachment 117911
Ngoja na mimi nimtwangie..!
mikoa ni mingis sana inayolina asali ila angalia mkoa wa singida, kigoma waweza fanya biashara yako
hongera kwa hatua nzuri hiyo na hiyo kwenye picha ni asali ulioyolilna wewe au?
Hahahaa. Sawasawa!Mkiwakosa hao wote mtwangieni Mizengo Pinda.
Mkiwakosa hao wote mtwangieni Mizengo Pinda.
Moja ktk hizo mbili ni ya MP mwenyewe, sasa usije ukaanza kuropoka, sikwambii ni ipi.
Unaogopa kuwekwa rupango?
Vipi mkuu. Hii biashara ya asali inaendeleaje?!Jamani asali inalipa sana!! Binafsi nipo kwenye uwekezaji wa misitu, na asali ni mojawapo ya product yangu ninayoiona kwa ukaribu zaidi. In short ntafuga nyuki... Ntaleta updates muda si mrefu humu.