Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 741
Nilikuwa siamini, lakini nimesoma maeneo mengi ya kimataifa, inasemakana Tanzania hosts not less than 20,000 twenty thousand Rwandans/Rwandese only in NGARA,KIBONGO (KIGOMA REGION) AND KAGERA REGION, wengi wao wakiwa ni wafugaji tu. hivi, hao wahamiaji alfu ishirini, wakizaliana kwa muda wa miaka kama 20 ijayo, si watakuwa M23 kwa tanzania wakitaka kujiunga na wenzao wa Rwanda wamege hiyo mikoa iwe yao jamani?
Did you know kwamba, M23 ni wakimbizi wa kitusi waliokimbia genocide Rwanda miaka ya 1950s wakapokelwa na Congo kwa huruma, wakatunzwa, walipozaliana leo hii kimekuwa kimeo cha congo hawalali hata usingizi....wamesahau kwamba congo waliwapokea wao kama wakimbizi kukimbia kuuawa...leo hii kagame ndio amekuwa akitumia m23 kama chambo cha kuiba madini ya congo ambyao iliwasaidia watusi walioko congo wasife maiaka ile....Tanzania amkeni, tumevamiwa..nchi hii si ya kwetu tena.
Kama walipokelewa congo, leo wamekuwa m23 wanaotaka kuimega Goma iwe part of Rwanda kwa wanyarwanda wenzao, watashindwa nini hawa watu kuimega kagera na kigoma iwe rwanda in the next 50 years?, juzi tu hapa tulikamata contena la madini toka Rwanda, Rwanda ina machimbo hata moja tu? wanapata wapi madini kupitishia dsm port?
Hao watu wote alfu ishirini 20,000 wahamiaji kwenye mikoa miwili tu hiyo, wametoka wapi, wameingiaje? ndio maana ukienda kagera na kigoma kumejaa mang'ombe ya ankole yale yenye mipembe mirefu, mi nilikuwa najua ni ya watz, kumbe ni ya wahamiaji. NAOMBA JWTZ fukuza wote, zile 14 days zimeisha, naomba fukuzeni wote na ng'ombe wao waende Rwanda. kama Rwanda ni ndogo hawataki mifugo, kwanini mifugo ije tz, kama wangekuwa wanakuja tz na kukaa dodoma hapa katikati tungekuwa na imani kidogo, lakini iyo tabia ya kukaa mpakani na rwanda, tunaogopa msijekuwa m23 wa miaka ijayo.
NENDENI KWETU ENYI WAHAMIAJI MTUACHE TUJENGE TANZANIA YETU.