Wanyarwanda wanashukuru sana tanzania tangu walipo rudi rwanda kwataarifa yako kunachama cha urafiki kati ya watanzania na wanyarwanda ambacho kipo mpaka sasa nchini rwanda,hii yote ni kwasababu ya ukarimu wenu,sasa kuhusu pk kutukana jk,inategemeana na sisi watu tunavyo tafsiri maneno yaliyo semwa,tuanze na jk kuambia kagame aongee na FDLR,kwako wewe huoni tusi kwahilo,lakini kwa mnyarwanda nitusi kubwa sana lisilo weza kupata msamaha,je uliishawahi kusikia kiongozi yeyote duniani akiomba rwanda kuongea na FDLR? haijatokea ni jk pekee kasema,na jk anajua kwa uhakika FDLR walifanya nini,hayo yote aliyafanya kwa sababu haungi mkona mazungumzo kati ya m23 na kabila,yeye anamini kwamba tatizo la m23 litamalizwa na vita ndio maana mpaka sasa congo imetoka kampala hakuna mazungumuzo tena,sasa jk kusema kagame aongee na FDLR hakua ana maanisha hivyo bali alijua haita wezekana,nahiyo ingehalalisha vita kuendelea dhidi ya m23,na inajulikana jeshi lakabila lina sapotiwa na tz na jeshi la kongo linashirikiana na FDLR,inajulikana kwamba wanampango wa kushambulia rwanda wakitokea congo wakisaidiwa na majeshi ya tanzania ndio maana pk alisema atamsubiri mahali muafaka na kumhit hiyo ndio maana yake,sasa hilo lisiwafanye kutokwa povu sana,kwani kama asipo vuka boda hatakutana na hit,lakini akivuka atamuhit kweli sio utani,inabidi nchi katika maziwa makuu tupendane na tutakiane amani kwani kuvuruga nchi ya mwenzako na wewe yatakufikia madhara yake,tatizo la congo na m23 ni yale yakuwafukuza na kuwauwa watutsi wa kongo wakiwafukuza kwa aridhi ya mababu zao eti warudi rwanda,hiyo haitawezekana kwasababu ni kwao,kinacho takiwa ni kongo kukubali kuwa ni wakongomani.