SoC04 Tanzania huru

SoC04 Tanzania huru

Tanzania Tuitakayo competition threads

Di23

New Member
Joined
Jul 28, 2023
Posts
3
Reaction score
0
Tanzania huru
Tanzania tuitakayo ni ile itakayo mupa uhuru wa kutoa maoni kuhusu selikali yetu ,
Siasa huru. Siasa huru ni ile inayo mpa mwanachama au mfuasi wa hicho chama kutoa maoni yatakayo isaidkia selikali kujua niwapi wanatakiwa kuongeza kuvu katika utendaji Kaz
1000001583.jpg


View: https://www.youtube.com/live/2HmdDHgiqfc?si=PfH5cqi3h0Vu1djc
Shule ya uongozi

Uhuru wa wanaichi katika lasilimali zetu
Selikali inapaswa kutengeneza mikakati itakayo tupa uhulu wa kufanya jambo katika uhalisia tuongelee upande wa cinema kwanini cinema kwasababu ni Moja Kati ya njia nzuli ya kutangaza lasilimali, utamaduni ,vivutio vya utalii na kufikisha ujumbe kwa wanaichi tunaona selikali inajitahidi kukutanisa waingizaji kutoka nchi Korean ili kutengeneza Wigo mpana upande wa cinema
1000001605.jpg

View: https://youtu.be/wjIdM006TXs?feature=shared
The light tv

je kwa upande siasa, cinema na upande wa jeshi kwanini selikali haiwapi uhulu wa kuzungumzia au kutengeneza cinema ambazo zitazungumzia nyanja hizo je selikali imejipangaje kubolesha shelia itakayo wapa uhulu wanaichi kufanya Mambo yatakayo eleza kwa kina kuhusu pande hizo tatu(3)
ili tupate kitu halisia ni lazima selikali yetu impe uhuru mwanaichi kufanya jambo litakalo onyesha makosa yanayo fanywa na viongozi wetu na kudadavua kwa kina nini kifanyike

Ili tufike katika Tanzania tuitakayo viongozi wanapaswa kujua wanaichi wanapotoa kelo kuhusu viongozi, sio kwamba tunawakashifu bali tuna wakumbusha ni nini kilicho tufanya tuwachangue na tuliwachagua ili wakatatue Yale tunayo yazungumzia
 
Upvote 1
Back
Top Bottom