Sio linaweza, linatokea as we are speaking, tena since kitambo, black Americans/ British ndio wanakuja kwa mamia.Hii inaweza kuwa kweli
[emoji16][emoji16] na we umefeli law school?Sio linaweza, linatokea as we are speaking, tena since kitambo, black Americans/ British ndio wanakuja kwa mamia.
We mbea [emoji1787], nmekusoma kule kwa resty, mnasema classmate wangu kweka.
[emoji1787][emoji23], me nilisoma nae secondary, ndio nasikia kwenu alifail, thought he was a lawyer. Wadada wa pana nyinyi, nawahaanya.[emoji16][emoji16] na we umefeli law school?
Utuombe radhi Wana wa MusomaHii itakua ni ya Musoma hii.
Hahahaha[emoji1787][emoji23], me nilisoma nae secondary, ndio nasikia kwenu alifail, thought he was a lawyer. Wadada wa pana nyinyi, nawahaanya.
Akili finyu so bure we jamaaJana nilikuwa pale Forodhani Zanzibar nikakutana na wazungu wakihoji taratibu za kutafuta hifadhi nchini kwani kwao kuna Corona hawataki kurudi walikuwa kama kumi hivi wakasema [esa za kuishi wanazo...
Sijui lakini walikuwa ni wengi matajiri wakubwa toka China walikimbia Corona kule waka book mahotel ya kifahari kukaa muda mrefu sijui miezi mitatu nk Mahoteli baadhi walivuna pesa hasa sijui kama walishaondoka au bado wapo lakini walibadili uchumi wa baadhi ya hoteli sana serikali nafikiri iliwapa extensionHivi wale wachina waliomwagika wakati Corona inachanganya walirudi kwao.?
Waende Burundi, maana kule wakati ule wa kimbunga cha korona, alikufa mmoja tuJana nilikuwa pale Forodhani Zanzibar nikakutana na wazungu wakihoji taratibu za kutafuta hifadhi nchini kwani kwao kuna Corona hawataki kurudi walikuwa kama kumi hivi wakasema [esa za kuishi wanazo...
Marekani wameshaanza kuzalisha wakimbizi wa ndani ambao wanakimbia majimbo yenye Corona kwenda maeneo yasisyo na corona kwa mamilioniLabda wazungu wa iliyokuwa ulaya mashariki, lakini sio wazungu toka nchi zenye utawala bora na demokrasia ya kweli.
Sio kweli, labda alivyofika tumaini dsm ndio alianza kupenda hizo mambo.Hahahaha
Nasikia wanasema kitonga alianza kukipenda toka enzi hizoo yakweli haya
Hapana. Hakika hii inatoka Kanda Maalum kule Rorya na Tarime.Hii itakua ni ya Musoma hii.