Tanzania ijiandae kupokea wakimbizi toka Ulaya na Marekani wanaokimbia CORONA kuja kuishi kwetu kusiko na Corona

Tanzania ijiandae kupokea wakimbizi toka Ulaya na Marekani wanaokimbia CORONA kuja kuishi kwetu kusiko na Corona

Jana nilikuwa pale Forodhani Zanzibar nikakutana na wazungu wakihoji taratibu za kutafuta hifadhi nchini kwani kwao kuna Corona hawataki kurudi walikuwa kama kumi hivi wakasema [esa za kuishi wanazo...
WAKIMBIZI WA KIAFYA AU SIO
 
Jana nilikuwa pale Forodhani Zanzibar nikakutana na wazungu wakihoji taratibu za kutafuta hifadhi nchini kwani kwao kuna Corona hawataki kurudi walikuwa kama kumi hivi wakasema [esa za kuishi wanazo...
Wapo wengi tu wanaplan kuhamia kwa nchi ya president Magufuli. Wana imani kubwa sana na Tanzania
 
Marekani wameshaanza kuzalisha wakimbizi wa ndani ambao wanakimbia majimbo yenye Corona kwenda maeneo yasisyo na corona kwa mamilioni..

Sikatai kwamba huko Marekani wanakimbia, ila hawatakuja hapa. Mmrekani gani atakuja kuweka hela yake hapa bank account ifungiwe?
 
Kuna hoteli moja hapo Zanzibar wataliano waliingia hapo desemba mwaka Jana na mpaka Julai mwaka huu walikuwa hawajaondoka. Yaani hoteli nzima ni wataliano tupu
uhamiaji wajipange kuwapa visa za muda mrefu as long wanaishi kwenye mahotel wamelipia na ushahidi upo TRA risiti au wamelipia Apartments au nyumba za kupanga kwa muda mrefu na TRA risiti zipo

Huu Ugonjwa ni fursa ya kiuchumi Wizara ya afya , Uhamiaji,wizara ya utalii na fedha wawe karibu sana kwenye hili kushirikiana kuhakikisha nchi inafaidika sana kupitia wahamiaji hao wakimbizi wa kiafya
 
Jana nilikuwa pale Forodhani Zanzibar nikakutana na wazungu wakihoji taratibu za kutafuta hifadhi nchini kwani kwao kuna Corona hawataki kurudi walikuwa kama kumi hivi wakasema [esa za kuishi wanazo
Na wameona Tanzania ndio mahali salama kwao na familia zao kuliko makwao...
Ni kweli Ulaya na Merikani kunatisha - hivi sasa inaelekea mataifa hayo yanakabiliwa na second phase ya maambukuzi ya COVID-19.

Kilicho nitisha zaidi ni pale nilipo msikia Waziri mkuu wa Uingereza jana akionya kwamba hivi sasa Uingereza inakabiliwa na strain mpya ya COVID-19 ambayo inaweza kuwa ni more virulent kuliko strain ya kwanza, nikawa najiuliza maswali mengi kwamba inawezakana kuna wanasayansi wanavifanyia virus ukarabati ili viwe hatari zaidi.

Waziri mkuu wa Uingereza alionekana ana wasi wasi sana anawashauri raia wake kwamba hata XMAS washerekee wakiwa majumbani kwao wasitoke nje na kuranda randa ovyo kutokana na kuwepo STRAIN mpya ya COVID-19 - sasa hii inaleta picha gani kimataif?

Ni wazi tukiendelea kuruhusu ndege na watalii pamoja na wageni kutoka kwenye Mataifa hayo athirika bila ya kuchukua hatua kali za kudhibiti miingiliano holela na wageni, Taifa letu linaweza kukumbwa na second phase ya corona ambayo Waziri mkuu wa Uingereza amethibitisha kwamba ni STRAIN mpya -

no one knows how to deal with it labda tukisaidiwa na wataalamu wa Kichina kwa kuwa Taifa la China ndilo limeonekana lina mbinu za hali ya juu jinsi ya ku-deal na COVID-19 pandemic effectively - pendekezo langu ni kwamba Wizara ya afya pamoja na Wizara ya Utalii ziwe makini sana kudhibiti wageni, zisiogope lawama.
 
Ni kweli Ulaya na Merikani kunatisha - hivi sasa inaelekea mataifa hayo yanakabiliwa na second phase ya maambukuzi ya COVID-19...
Mkuu unaeleza kana kwamba Tanzania tulifanikiwa kuidhibiti corona ndio maana unatoa ushauri kwa serikali kuwa makini kudhibiti wageni wasituletee tena corona.
 
Vaccine ipo tayari watarudi wenyewe ulaya na America, na kutakuja utaratibu kuwa ili uweze kupata entry ya kuongia hizi nchi lazima uwe na passport ya vaccine
 
Tubadilishane tu sie twende kwao mbona sisi tuko na pua imara sana za kuweza kupambana na covid 19[emoji23]
 
Jana nilikuwa pale Forodhani Zanzibar nikakutana na wazungu wakihoji taratibu za kutafuta hifadhi nchini kwani kwao kuna Corona hawataki kurudi walikuwa kama kumi hivi wakasema pesa za kuishi wanazo...
Ukilala na njaa lazima uote ndoto za ajabu ajabu tu.
 
Back
Top Bottom