mohamedjohn
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 467
- 277
Hahahahahahahhaahabange za asubuhi ni mbaya Sana
WAKIMBIZI WA KIAFYA AU SIOJana nilikuwa pale Forodhani Zanzibar nikakutana na wazungu wakihoji taratibu za kutafuta hifadhi nchini kwani kwao kuna Corona hawataki kurudi walikuwa kama kumi hivi wakasema [esa za kuishi wanazo...
Wapo wengi tu wanaplan kuhamia kwa nchi ya president Magufuli. Wana imani kubwa sana na TanzaniaJana nilikuwa pale Forodhani Zanzibar nikakutana na wazungu wakihoji taratibu za kutafuta hifadhi nchini kwani kwao kuna Corona hawataki kurudi walikuwa kama kumi hivi wakasema [esa za kuishi wanazo...
Marekani wameshaanza kuzalisha wakimbizi wa ndani ambao wanakimbia majimbo yenye Corona kwenda maeneo yasisyo na corona kwa mamilioni..
Sio linaweza, linatokea as we are speaking, tena since kitambo, black Americans/ British ndio wanakuja kwa mamia.
uhamiaji wajipange kuwapa visa za muda mrefu as long wanaishi kwenye mahotel wamelipia na ushahidi upo TRA risiti au wamelipia Apartments au nyumba za kupanga kwa muda mrefu na TRA risiti zipoKuna hoteli moja hapo Zanzibar wataliano waliingia hapo desemba mwaka Jana na mpaka Julai mwaka huu walikuwa hawajaondoka. Yaani hoteli nzima ni wataliano tupu
Italia hali mbaya sana wenye pesa wengi baada ya kupima na kujikuta afa zao nzuri wamekimbia nchiKuna hoteli moja hapo Zanzibar wataliano waliingia hapo desemba mwaka Jana na mpaka Julai mwaka huu walikuwa hawajaondoka. Yaani hoteli nzima ni wataliano tupu
Hapana chato kabisaHii itakua ni ya Musoma hii.
Ni kweli Ulaya na Merikani kunatisha - hivi sasa inaelekea mataifa hayo yanakabiliwa na second phase ya maambukuzi ya COVID-19.Jana nilikuwa pale Forodhani Zanzibar nikakutana na wazungu wakihoji taratibu za kutafuta hifadhi nchini kwani kwao kuna Corona hawataki kurudi walikuwa kama kumi hivi wakasema [esa za kuishi wanazo
Na wameona Tanzania ndio mahali salama kwao na familia zao kuliko makwao...
Alichoandika jamaa ni kweli fanya tu utafiti binafsi.AKILI ZA CHAMA TAWALA HIZI
Mimi mwenyewe nimeona hiyo.Kule youtube uwa nawaona black america wanavyoitana kuja TZ
Mkuu unaeleza kana kwamba Tanzania tulifanikiwa kuidhibiti corona ndio maana unatoa ushauri kwa serikali kuwa makini kudhibiti wageni wasituletee tena corona.Ni kweli Ulaya na Merikani kunatisha - hivi sasa inaelekea mataifa hayo yanakabiliwa na second phase ya maambukuzi ya COVID-19...
Kukiwa na zile pisi kali kama Beyonce zikija bongo nitazipa accomodation ya bure bure.Hii inaweza kuwa kweli
Ukilala na njaa lazima uote ndoto za ajabu ajabu tu.Jana nilikuwa pale Forodhani Zanzibar nikakutana na wazungu wakihoji taratibu za kutafuta hifadhi nchini kwani kwao kuna Corona hawataki kurudi walikuwa kama kumi hivi wakasema pesa za kuishi wanazo...