Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,424
Wakuu stori inayotrend saivi ni tamko la mamlaka za Uturuki kubadili matumizi ya jengo la kale la Hagia Sophia lililojengwa mwaka 537 (yapata miaka 1,500 iliyopita) kutoka kuwa makumbusho na sasa kuwa eneo lakuabudia.
Miaka 1,500 ni mingi sana kwa historia ya mwanadamu.
Nimejiuliza sana hawa wenzetu walifanya haya yote miaka 1,500 iliyopita. Hivi wakati huo sisi tulikuwa tunafanya nini au nini kilikuwa kinaendelea huku kwetu?