Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Hapana, hao walikuepo kabla yetu wabantu vipilipili.Mkuu hawa jamaa sio wamekuja kwenye karne ya 13-14 hapo? Hilo jengo ni la karne ya 5-6 huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, hao walikuepo kabla yetu wabantu vipilipili.Mkuu hawa jamaa sio wamekuja kwenye karne ya 13-14 hapo? Hilo jengo ni la karne ya 5-6 huko.
Kijana soma histori ya mashariki mwa afrika.Wakuu stori inayotrend saivi ni tamko la mamlaka za Uturuki kubadili matumizi ya jengo la kale la Hagia Sophia lililojengwa mwaka 537 (yapata miaka 1,500 iliyopita) kutoka kuwa makumbusho na sasa kuwa eneo lakuabudia.
Miaka 1,500 ni mingi sana kwa historia ya mwanadamu.
Nimejiuliza sana hawa wenzetu walifanya haya yote miaka 1,500 iliyopita. Hivi wakati huo sisi tulikuwa tunafanya nini au nini kilikuwa kinaendelea huku kwetu?
Kijana soma histori ya mashariki mwa afrika.
Toka kuja kwa Waajemi, Wachina miaka ya 1000s, kuja kwa Wareno 1400s na kuja kwa waarabu 1600-1800s, na wote hao waliwakuta Wabantu.
Miji ya kibiashara ya Mombasa, Lamu,Sofala,Lindi na Mafia hata Mzizima na huko Unguja ni matokeo ya ujio wa wageni hao waliofuata biashara.
Walioingiza ukoloni mamboleo ni wazungu, baada ya 1184.
Wakuu stori inayotrend saivi ni tamko la mamlaka za Uturuki kubadili matumizi ya jengo la kale la Hagia Sophia lililojengwa mwaka 537 (yapata miaka 1,500 iliyopita) kutoka kuwa makumbusho na sasa kuwa eneo lakuabudia.
Miaka 1,500 ni mingi sana kwa historia ya mwanadamu.
Nimejiuliza sana hawa wenzetu walifanya haya yote miaka 1,500 iliyopita. Hivi wakati huo sisi tulikuwa tunafanya nini au nini kilikuwa kinaendelea huku kwetu?
Nimekuelewa, nimeongeza kituMimi naamini hizo early years hapa kwetu Tanzania palikuwa ni "No man's Land".
Sisi tulikuwa Kongo huko au Central Africa migrating from the Desert.
Sehemu kama Raptah,Azania,Zanzibar,Kilwa zilikuwa kama vijiwe vya mabaharia kukutana ili kufanya biashara,na kupumzika(kupata maji fresh na kadhalika.Baadae waliamua ku-explore ndani--na sisi tukitokea humo ndani tukakutania katikati.
Intermarriages zikatokea,wengine ndio wakabaki humohumo.
Ni mtazamo tu!
Yeah wkt mwngne inapendeza kuzipa changamoto bongo zetu kufikilia mambo ya mbali km hayo. Hatutakiw kuishi tu km ng'ombe.Bado sijapata radha kabisa kulikuwaje huku mika ya 500 W.K Huenda nchi nzima hatukufika hata laki 5.