Tanzania ilikuwaje Miaka 1,500 iliyopita

Kijana soma histori ya mashariki mwa afrika.
Toka kuja kwa Waajemi, Wachina miaka ya 1000s, kuja kwa Wareno 1400s na kuja kwa waarabu 1600-1800s, na wote hao waliwakuta Wabantu.

Miji ya kibiashara ya Mombasa, Lamu,Sofala,Lindi na Mafia hata Mzizima na huko Unguja ni matokeo ya ujio wa wageni hao waliofuata biashara. Walioingiza ukoloni mamboleo ni wazungu, baada ya 1884.
 

Asante,kawaelimishe watanzania wenzako.
 
Hii ni miaka ya Dark Continent, Mali empire
 
Nimekuelewa, nimeongeza kitu
 
Nimetafakari na nimepata jibu ambalo sio sahihi kwa asilimia 100 kutokana na facts kwamba nimeamua kutumia njia za kawaida ambazo sio scientific.

Iwapo Tanganyika ilipokua inapata Uhuru 1961 ilikua na watu Milioni 9 na swala hapa tunajaribu ku backdate kujua Tanzania miaka 1500 iliyopita ilikuaje? Sasa tutafanya hesabu ndogo

Kuna miaka 59 mingapi katika 1500 tunapata mafungu 25.4

Kisha tunaigawanya Milioni 9 kwa 25.4 unapata watu 354,330/- Tanganyika mainland inauku wa wa hekta za mraba takriban 900,000km2 ukitoa zile za Zanzibar.

Utakuja kugundua rafly ni Kama watu wote tulikua hatuwezi kuijaza Wilaya ya ilala yenye population ya watu laki 6 na 273km2.

Jumuisho
Tanganyika miaka 1500 iliyopita ilikua na watu wasioweza hata kujaza Buguruni na Vitongoji vyake.

TULIKUA TUNAFANYA NINI?
Tulikua tukiishi katika community ndogo ndogo sana na kwa zana duni na hafifu kweli kweli.
 
Bado sijapata radha kabisa kulikuwaje huku mika ya 500 W.K Huenda nchi nzima hatukufika hata laki 5.
 
Bado sijapata radha kabisa kulikuwaje huku mika ya 500 W.K Huenda nchi nzima hatukufika hata laki 5.
Yeah wkt mwngne inapendeza kuzipa changamoto bongo zetu kufikilia mambo ya mbali km hayo. Hatutakiw kuishi tu km ng'ombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…