Tanzania iliwadanganya wananxhi kwamba hakutakuwa na shida ya mafuta

Tanzania iliwadanganya wananxhi kwamba hakutakuwa na shida ya mafuta

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,840
Reaction score
8,202

Vita Iran: Tanzania yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta​

.


Serikali nchini Tanzania imetangaza bei mpya ya juu ya mafuta inayoanza kutekelezwa hii leo Jumatano tarehe mosi Aprili 2026.
Kulingana na Mamlaka ya udhibiti ya huduma za Nishati na Maji nchini Tanzania EWURA ,kupanda kwa bei hizo kumetokana na ongezeko kubwa linalosababishwa na mzozo unaoendelea Mashariki ya kati dhidi ya Iran.
Bei ya lita ya petroli jijini Dar Es Salaam imepanda kwa shilingi 956 za Tanzania ambayo ni sawa na dola senti 37 na kuzua hisia kali miongoni mwa raia wa taifa hilo.
Kwa mujibu wa bei mpya mjini Dar es Salaam Petroli sasa itauzwa kwa shilingi za Tanzania 3,820, Dizeli Sh 3,806, Mafuta ya Taa Sh 3,684.
Soma zaidi

​

  • Mhudumu wa mafuta aliyevalia fulana ya bluu na kijani akisukuma petroli kwenye pikipiki katika kituo cha mafuta huko Abuja.

 
Watu wanatembea na beat..humo humo kwa Iran vs US
 
Taasisi inapata hati chafu miaka 3 mfulurizo na unakuta lijitu lipo na litambi lake kama mjamzito hapo ofisini
 
Asee hawa jamaa walisubiria sana hii nafasi na imekuwa fursa kubwa sana kwao, wazee wa fursa.
 
Bado bei ndogo sana, walau ifike 5000 Kwa Lita ili mnaochukulia vita ni kama ushabiki WA mpira akili iwakae
 
Back
Top Bottom