In the end kiongoz anasema atajwe ili apate aibu, like what in the fuk?Taasisi inapata hati chafu miaka 3 mfulurizo na unakuta lijitu lipo na litambi lake kama mjamzito hapo ofisini
Watuulie watoto wetu wasione aibu sembuse kutajwa?huyu mama ameshatufanya dekioSijui wanatuonaje hawa Wafilipi?
Hata Sisi hio 3800 imekuwa subsidized, Kenya Petroli ni ksh 250 ambayo ni kama 5000 ya huku.
Hizi ndio nchi zenye viongozi wanaojitambua,CCM wao ni utapeli tu