Tanzania iliwahi kuwa na Rais jiwe kweli kweli

Tanzania iliwahi kuwa na Rais jiwe kweli kweli

Nchi yetu iliwahi kuwa na kiongozi mahiri kweli kweli.

Walikuwepo kabla yake, wakaja baada yake, na huenda watakuja na wengine, lakini itatuchukua muda mrefu sana kumpata kiongozi mwenye kaliba ya Hayati JPM.
View attachment 2782568
Jpm hakua kiongozi shupavu ila alikua kiongozi limbukeni tu, kutumia udikiteta wa zamani.
 
Alikuwa mwongo kuliko uongo wenyewe...
Angekuwa rais by now nchi isingeweza hata kulipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali...
Kauli za kibabe ni ushamba.
 
Alikuwa mwongo kuliko uongo wenyewe...
Angekuwa rais by now nchi isingeweza hata kulipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali...
Kauli za kibabe ni ushamba.
Hebu utuambie toka ametutoka hadi sasa deni la Taifa limefikia kiasi gani?
Maana niliona sehemu wanasema kwa sasa deni letu ni trilioni 104! Ila sikutaka kuamini.
Maana kama ni kweli, basi awamu hii imekopa karibia 50% ya deni lote toka tumepata uhuru 1961!
 
Alikuwa mwongo kuliko uongo wenyewe...
Angekuwa rais by now nchi isingeweza hata kulipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali...
Kauli za kibabe ni ushamba.
download.png
 
Lita moja ya petroli kwa sasa ni karibu 3,500/= kwa baadhi ya maeneo
 
Nauli za bajaji, bodaboda, daladala na mabasi zinazidi kupaa!
 
Back
Top Bottom