Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kama jpm,ila kwa watu wenye fikra mbilikimo kama wewe,ni lazima useme hivyo.Jpm hakua kiongozi shupavu ila alikua kiongozi limbukeni tu, kutumia udikiteta wa zamani.
Hayuko sawa kichwani,mtu ambaye ni smart kichwani hawezi kuukataa ukweli na kushabikia upumbavu.Yuko sawa kabisa kichwani...issue ni kwamba ni MNUFAIKA wa hii serikali mbovu ya Hangaya.