Nsanzagee JF-Expert Member Joined Jun 28, 2023 Posts 2,209 Reaction score 4,769 Oct 15, 2023 #21 JPM habari nyingine kabisa nchini! Wapumbavu wachache eti wanauchukia ukweli huu
Y yvegenc prymacov JF-Expert Member Joined Jan 22, 2023 Posts 1,530 Reaction score 1,961 Oct 15, 2023 #22 Covax said: Jpm hakua kiongozi shupavu ila alikua kiongozi limbukeni tu, kutumia udikiteta wa zamani. Click to expand... Hakuna kama jpm,ila kwa watu wenye fikra mbilikimo kama wewe,ni lazima useme hivyo.
Covax said: Jpm hakua kiongozi shupavu ila alikua kiongozi limbukeni tu, kutumia udikiteta wa zamani. Click to expand... Hakuna kama jpm,ila kwa watu wenye fikra mbilikimo kama wewe,ni lazima useme hivyo.
Y yvegenc prymacov JF-Expert Member Joined Jan 22, 2023 Posts 1,530 Reaction score 1,961 Oct 15, 2023 #23 Ngorunde said: Yuko sawa kabisa kichwani...issue ni kwamba ni MNUFAIKA wa hii serikali mbovu ya Hangaya. Click to expand... Hayuko sawa kichwani,mtu ambaye ni smart kichwani hawezi kuukataa ukweli na kushabikia upumbavu.
Ngorunde said: Yuko sawa kabisa kichwani...issue ni kwamba ni MNUFAIKA wa hii serikali mbovu ya Hangaya. Click to expand... Hayuko sawa kichwani,mtu ambaye ni smart kichwani hawezi kuukataa ukweli na kushabikia upumbavu.
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Oct 15, 2023 #24 Kama viongozi wote wangekuwa na uzalendo wa JPM, tungechuana na China kimaendeleo. Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Kama viongozi wote wangekuwa na uzalendo wa JPM, tungechuana na China kimaendeleo. Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app