Tanzania imeanza vizuri katika mashindano ya wabunge yanayoendelea Bujumbura nchini Burundi baada ya kung`ara katika mchezo wa Volleyball.
Kwenye mchezo wa Volleyball, wabunge wa Tanzania wamewashinda watani wao wa jadi kutoka Uganda seti 3–1 upande wa wavulana na wasichana.