Tanzania imeanza vizuri katika mashindano ya wabunge

Tanzania imeanza vizuri katika mashindano ya wabunge

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
530
Reaction score
1,446
Tanzania imeanza vizuri katika mashindano ya wabunge yanayoendelea Bujumbura nchini Burundi baada ya kung`ara katika mchezo wa Volleyball.

Kwenye mchezo wa Volleyball, wabunge wa Tanzania wamewashinda watani wao wa jadi kutoka Uganda seti 3–1 upande wa wavulana na wasichana.
 
Back
Top Bottom