Tanzania imefanya raia wake kuwa watumwa

Habari zenu wanaharakati.

Najieleza.
Ndugu hayati nyerere na watu wake walilipigania taifa letu,toka mkoloni tukawa huru mwaka 1961 kwa hilo tnawapongeza.

Tangu biashara ya watumwa ifungwe mwaka 1873 na wazungu,ndugu zangu biashara hii akaanza kwa kasi nchini mwetu.Kwa kudhalilisha utu wa ndugu zetu.

Toka Nyerere viongozi wamekuwa wakirithishana mambo hayohayo siku zote mpaka wakati huu wa Samia Raisi wetu.
Biashara ya triangular slave trade(pembe tatu yaani afrika,amerika na ulaya) ambayo iliumiza babu zetu,kwa kufanyishwa kazi za lazima kwa malipo madogo;Na pengine hamna kabisa kwa sababu ya kukosa mtetezi.

Nawambia ukweli toka marekani imepata uhuru mwaka 1776.Ndugu zetu wa diaspora waliumizwa na tena wakati mwingine,walizalilishwa na watoto wa kizungu.Yaa mwafrika anampisha mtoto wa kizungu kiti.Ndugu huo ulikuwa ni unyama mkubwa sana.Poleni babu zetu,ni afadhali yenu mmepumzika maana sisi bado tnapitia mateso hayo hayo mpaka wakati huu!Nani atakae tutetea?

Ndugu aliibuka martine luther mpigania haki akitaka usawa.Zaidi akiwa Olabama akitoa hotuba yake isemayo ''i have the dream''akibashiri siku moja marekani itaongozwa mtu mweusi.
Ndugu tumejionea wenyewe barack obama mtu mweusi kutoka East afrika;kumuongoza mzungu.Lakini nadhani ulimwengu ulitegemea kuwa yeye angekuwa msaada kwa ndugu zake.Ndio kwanza sheria zilizidi kuwa kali na kuwanyanyasa wananchi wake.

Mtashudia wenyewe kuwa nchi nyingi ulimwenguni kote zinawanyima uhuru watu wake.

Tuje kwetu Tanzania hayati Nyerere alikuwa na spirit nzuri ya uongozi:ya uhuru na kujitegemea (bigup sana).msingi wake ulikuwa imara kwa taifa letu,lakini pasipo ufahamu alichimba kabuli la kuwateketeza watu wake wakijiona kwa kuweka sheria kali.

Ndugu wengi wa watu wetu wemekuwa wakiozea jera,pengine unakuta mtu kasingiziwa hata kosa hakufanya,watu wengi walikimbia nchi yetu kulinda uhai wao ikiwa akina kambona.Kisa kiongozi hataki kukosolewa.

Ndugu spiriti hiyo imegwa na viongozi wetu mpaka leo.Pasipo kutumia ufahamu ili kubadili sheria hizo maana hazna haki ndani yake.

Mfano Nyerere alisema ''nchi yetu haina dini''afu wakati huo anasisitiza viongozi watumie misahafu ya bibilia na kuruan kuapa.Tena akase akipatikana kiongozi asiye na dini tutafute namna nyingine ya kumwapisha.Ndugu zangu huo si udini?Yaani anafika pale tunajua kabisa kwamba yule ni mwislamu na yule ni mkristo,wakati huo hawajui yaliyoandikwa kwenye mihasafu hiyo.Kuna haki kweli?

Sheria zao juu ya elimu ni zilezile hazijabadilika,zinazidi kunyanyasa raia wetu.Mfano samia anaruhusu msichana akipewa mimba ajifungue na badae arudi shule asome tena.Wakati huo yule aliyempa mimba anaenda jera miaka 30.Je kuna haki hapo kwanini wasipewe haki sawa?.Kama ni kulea walee wote maana tayari ile ni familia.Au kwanini na wanaume wasipewe nafasi sawa kama wanawake warudi wasome kama ni wanafunzi?.Na kama ni raia kwanini wasipewe nafasi ya kumhudumia mtoto kuliko kwenda jela?Wakati huo wanadai haki sawa.Je huo ndio usawa?.

Unakuta mwanamke mzima bungeni anasema''wanaowapa mimba watoto nashauri wanaume wanaofanya hivyo wahasiwe''kweli tutafika?Nani katuroga?

Huku mabarabarani tunakutana na wafungwa wakifanya kila aina ya kazi ya serikali!Hadi huruma watu wanasimamiwa kwa mitutu,kula sijui mara moja,vazi moja.

Huo ndio utumwa tulio nao ndugu zangu,viongozi wanajari miradi tu huku watu wanateseka kwa kazi nyingi.Na kuna uwezekano mwingine kaiba kuku anakaa mwaka,mwingine 20 na mwingine anasubiri kunyongwa.Jamani viongozi wetu hamuoni haya?Kwanini sheria kali hivyo? Je tunakomoana wenyewe?mtujibu.

Kiongozi unasimama unasema kwa furaha atakae mpa mimba binti miaka 30.Bila hata haya ni ukatili tuoneeni huruma mnatutesa watu wenu.Afu unasimama unasema 2025 ni uhakika.Tunajua mnataka maendeleo je yanapatikana kwa kutunyanyasa hivyo?

Its better for the nation to loose everything,for the welfare of the people.Maana watu ndio serikali.
Tujiulize kidogo je nyinyi viongozi hamjawahi kukosa? Kama ni hivyo kwanini raia wenu wanahukumia kifungo cha maisha?Au kunyongwa?

Mbaya zaidi katiba imewaheshimisha kwamba hamna hatia.Kwamba kama hujawahi fanya kosa la jinai ndio unafaa kuchukua nafasi ya uongozi.Kwani aliyefanya kosa leo hawezi kubadilika.Mbona sasa katiba yetu inatuhukumu na mnaitetee hivyohivyo na ubovu wake.

Listens,the minds of people can change at any time.A person with understanding heart,understand this.Na sio kumuhukumu mtu miaka yote hiyo anawafanyia kazi bure bila chochote ni unyama huu wa kipindi kile cha utamwa.

Sisi tunataka yafuatayo.
1.Mrekebishe sheria zenu na hukumu zake na sisi ni binadamu sio wanyama,kama ni msamaha wa raisi basi utolewe kwa wafungwa wote bila masharti ya sheria zenu.
2.Tunataka serikali isiyo na dini.Kama mnataka iwe na dini muitaftie dini na sio kuapa kwa misahafu ya bibilia na kuraani mnaligawa taifa.
3.Tunataka usawa wa kijinsia maana sio kwa uonevu huo.Wote tuna haki sawa mbele za mungu.
4.Tunataka katiba iliyoimara ikifaa ndiyo itumike kuapisha viongozi.Kama itathibitika kuwa imara maana inahukumu,kwani yenyewe ni mungu.

Mtaongezea.

Na ONJO Mpenzi wenu.
Ngumu kumesa
 
Onjo Kwani Kimetokea nini huko Uliko..?

Pata Fundo La Maji baridi Kwanza Utulie...

Halafu ndo Ueleze Vizuri...
 
Mkuu 'ONJO'
Mada yako hii ni "Kachumbari".

Kuna mambo yanayoeleweka, na kuna mengine yameongezwa tu humo na kufanya mchanganyiko unaozungusha akili.

Ningekushauri uache kuandika makala ndefu zenye mizunguko mingi kwanza. Shikilia jambo moja na linyooshe vizuri lieleweke.

Mada ayko ni ya msingi sana, lakini haieleweki vizuri kwa kuchanganya mambo mengi sana kwa wakati mmoja.

Kati ya hayo uliyoorodhesha hapo mwisho wa andiko lako; hiyo namba mbili isisitizie zaidi. Hii imekuwa njia ya watawala kujipendekeza kwenye hizi dini.
 
Ndio maana rais Kenyatta alimwambia Nyerere anaongoza maiti

Bora mkoloni Mweupe kuliko mkoloni mweusi
Mbona maiti wamejaa 'Shakahola', au huna habari?

Sasa wewe hapa unataka tukuone kuwa unaufahamu mkubwa wa haya mambo kwa hivi vimaneno vya kipuuzi?
 
Mkuu 'ONJO'
Mada yako hii ni "Kachumbari".

Kuna mambo yanayoeleweka, na kuna mengine yameongezwa tu humo na kufanya mchanganyiko unaozungusha akili.

Ningekushauri uache kuandika makala ndefu zenye mizunguko mingi kwanza. Shikilia jambo moja na linyooshe vizuri lieleweke.

Mada ayko ni ya msingi sana, lakini haieleweki vizuri kwa kuchanganya mambo mengi sana kwa wakati mmoja.

Kati ya hayo uliyoorodhesha hapo mwisho wa andiko lako; hiyo namba mbili isisitizie zaidi. Hii imekuwa njia ya watawala kujipendekeza kwenye hizi dini.
Sawa ndugu nitajitahidi
 
Onjo Kwani Kimetokea nini huko Uliko..?

Pata Fundo La Maji baridi Kwanza Utulie...

Halafu ndo Ueleze Vizuri...
Niko vyema nasikitika sana napowaona wafungwa wanateseka
 
Habari zenu wanaharakati.

Najieleza.
Ndugu hayati nyerere na watu wake walilipigania taifa letu,toka mkoloni tukawa huru mwaka 1961 kwa hilo tnawapongeza.

Tangu biashara ya watumwa ifungwe mwaka 1873 na wazungu,ndugu zangu biashara hii akaanza kwa kasi nchini mwetu.Kwa kudhalilisha utu wa ndugu zetu.

Toka Nyerere viongozi wamekuwa wakirithishana mambo hayohayo siku zote mpaka wakati huu wa Samia Raisi wetu.
Biashara ya triangular slave trade(pembe tatu yaani afrika,amerika na ulaya) ambayo iliumiza babu zetu,kwa kufanyishwa kazi za lazima kwa malipo madogo;Na pengine hamna kabisa kwa sababu ya kukosa mtetezi.

Nawambia ukweli toka marekani imepata uhuru mwaka 1776.Ndugu zetu wa diaspora waliumizwa na tena wakati mwingine,walizalilishwa na watoto wa kizungu.Yaa mwafrika anampisha mtoto wa kizungu kiti.Ndugu huo ulikuwa ni unyama mkubwa sana.Poleni babu zetu,ni afadhali yenu mmepumzika maana sisi bado tnapitia mateso hayo hayo mpaka wakati huu!Nani atakae tutetea?

Ndugu aliibuka martine luther mpigania haki akitaka usawa.Zaidi akiwa Olabama akitoa hotuba yake isemayo ''i have the dream''akibashiri siku moja marekani itaongozwa mtu mweusi.
Ndugu tumejionea wenyewe barack obama mtu mweusi kutoka East afrika;kumuongoza mzungu.Lakini nadhani ulimwengu ulitegemea kuwa yeye angekuwa msaada kwa ndugu zake.Ndio kwanza sheria zilizidi kuwa kali na kuwanyanyasa wananchi wake.

Mtashudia wenyewe kuwa nchi nyingi ulimwenguni kote zinawanyima uhuru watu wake.

Tuje kwetu Tanzania hayati Nyerere alikuwa na spirit nzuri ya uongozi:ya uhuru na kujitegemea (bigup sana).msingi wake ulikuwa imara kwa taifa letu,lakini pasipo ufahamu alichimba kabuli la kuwateketeza watu wake wakijiona kwa kuweka sheria kali.

Ndugu wengi wa watu wetu wemekuwa wakiozea jera,pengine unakuta mtu kasingiziwa hata kosa hakufanya,watu wengi walikimbia nchi yetu kulinda uhai wao ikiwa akina kambona.Kisa kiongozi hataki kukosolewa.

Ndugu spiriti hiyo imegwa na viongozi wetu mpaka leo.Pasipo kutumia ufahamu ili kubadili sheria hizo maana hazna haki ndani yake.

Mfano Nyerere alisema ''nchi yetu haina dini''afu wakati huo anasisitiza viongozi watumie misahafu ya bibilia na kuruan kuapa.Tena akase akipatikana kiongozi asiye na dini tutafute namna nyingine ya kumwapisha.Ndugu zangu huo si udini?Yaani anafika pale tunajua kabisa kwamba yule ni mwislamu na yule ni mkristo,wakati huo hawajui yaliyoandikwa kwenye mihasafu hiyo.Kuna haki kweli?

Sheria zao juu ya elimu ni zilezile hazijabadilika,zinazidi kunyanyasa raia wetu.Mfano samia anaruhusu msichana akipewa mimba ajifungue na badae arudi shule asome tena.Wakati huo yule aliyempa mimba anaenda jera miaka 30.Je kuna haki hapo kwanini wasipewe haki sawa?.Kama ni kulea walee wote maana tayari ile ni familia.Au kwanini na wanaume wasipewe nafasi sawa kama wanawake warudi wasome kama ni wanafunzi?.Na kama ni raia kwanini wasipewe nafasi ya kumhudumia mtoto kuliko kwenda jela?Wakati huo wanadai haki sawa.Je huo ndio usawa?.

Unakuta mwanamke mzima bungeni anasema''wanaowapa mimba watoto nashauri wanaume wanaofanya hivyo wahasiwe''kweli tutafika?Nani katuroga?

Huku mabarabarani tunakutana na wafungwa wakifanya kila aina ya kazi ya serikali!Hadi huruma watu wanasimamiwa kwa mitutu,kula sijui mara moja,vazi moja.

Huo ndio utumwa tulio nao ndugu zangu,viongozi wanajari miradi tu huku watu wanateseka kwa kazi nyingi.Na kuna uwezekano mwingine kaiba kuku anakaa mwaka,mwingine 20 na mwingine anasubiri kunyongwa.Jamani viongozi wetu hamuoni haya?Kwanini sheria kali hivyo? Je tunakomoana wenyewe?mtujibu.

Kiongozi unasimama unasema kwa furaha atakae mpa mimba binti miaka 30.Bila hata haya ni ukatili tuoneeni huruma mnatutesa watu wenu.Afu unasimama unasema 2025 ni uhakika.Tunajua mnataka maendeleo je yanapatikana kwa kutunyanyasa hivyo?

Its better for the nation to loose everything,for the welfare of the people.Maana watu ndio serikali.
Tujiulize kidogo je nyinyi viongozi hamjawahi kukosa? Kama ni hivyo kwanini raia wenu wanahukumia kifungo cha maisha?Au kunyongwa?

Mbaya zaidi katiba imewaheshimisha kwamba hamna hatia.Kwamba kama hujawahi fanya kosa la jinai ndio unafaa kuchukua nafasi ya uongozi.Kwani aliyefanya kosa leo hawezi kubadilika.Mbona sasa katiba yetu inatuhukumu na mnaitetee hivyohivyo na ubovu wake.

Listens,the minds of people can change at any time.A person with understanding heart,understand this.Na sio kumuhukumu mtu miaka yote hiyo anawafanyia kazi bure bila chochote ni unyama huu wa kipindi kile cha utamwa.

Sisi tunataka yafuatayo.
1.Mrekebishe sheria zenu na hukumu zake na sisi ni binadamu sio wanyama,kama ni msamaha wa raisi basi utolewe kwa wafungwa wote bila masharti ya sheria zenu.
2.Tunataka serikali isiyo na dini.Kama mnataka iwe na dini muitaftie dini na sio kuapa kwa misahafu ya bibilia na kuraani mnaligawa taifa.
3.Tunataka usawa wa kijinsia maana sio kwa uonevu huo.Wote tuna haki sawa mbele za mungu.
4.Tunataka katiba iliyoimara ikifaa ndiyo itumike kuapisha viongozi.Kama itathibitika kuwa imara maana inahukumu,kwani yenyewe ni mungu.

Mtaongezea.

Na ONJO Mpenzi wenu.
sysysse3sandyee22eseeeww3wxyxdxxx3ssssdx2
 
Matusi yale yale dhidi ya Mwafrika. Hoja zile zile za Dhihaka. Yaani ni mkusanyiko wa Matusi dhidi ya Mwafrika.
 
Mbona maiti wamejaa 'Shakahola', au huna habari?

Sasa wewe hapa unataka tukuone kuwa unaufahamu mkubwa wa haya mambo kwa hivi vimaneno vya kipuuzi?
Mkuu kalamu heshima kwako naomba unioneshe wapi nimejifanya najua

Pia Mimi nimefanya nukuu ya mtu ni vema ungejikita kujibu hoja ya nukuu kuliko kunishambulia Mimi binafsi

JF ni chuo Cha maarifa nipo tayali kujifunza na kujirekebisha mtazamo wangu
 
Back
Top Bottom