Tanzania imefanya raia wake kuwa watumwa

Ngumu kumesa
 
Onjo Kwani Kimetokea nini huko Uliko..?

Pata Fundo La Maji baridi Kwanza Utulie...

Halafu ndo Ueleze Vizuri...
 
Mkuu 'ONJO'
Mada yako hii ni "Kachumbari".

Kuna mambo yanayoeleweka, na kuna mengine yameongezwa tu humo na kufanya mchanganyiko unaozungusha akili.

Ningekushauri uache kuandika makala ndefu zenye mizunguko mingi kwanza. Shikilia jambo moja na linyooshe vizuri lieleweke.

Mada ayko ni ya msingi sana, lakini haieleweki vizuri kwa kuchanganya mambo mengi sana kwa wakati mmoja.

Kati ya hayo uliyoorodhesha hapo mwisho wa andiko lako; hiyo namba mbili isisitizie zaidi. Hii imekuwa njia ya watawala kujipendekeza kwenye hizi dini.
 
Ndio maana rais Kenyatta alimwambia Nyerere anaongoza maiti

Bora mkoloni Mweupe kuliko mkoloni mweusi
Mbona maiti wamejaa 'Shakahola', au huna habari?

Sasa wewe hapa unataka tukuone kuwa unaufahamu mkubwa wa haya mambo kwa hivi vimaneno vya kipuuzi?
 
Sawa ndugu nitajitahidi
 
Onjo Kwani Kimetokea nini huko Uliko..?

Pata Fundo La Maji baridi Kwanza Utulie...

Halafu ndo Ueleze Vizuri...
Niko vyema nasikitika sana napowaona wafungwa wanateseka
 
sysysse3sandyee22eseeeww3wxyxdxxx3ssssdx2
 
Matusi yale yale dhidi ya Mwafrika. Hoja zile zile za Dhihaka. Yaani ni mkusanyiko wa Matusi dhidi ya Mwafrika.
 
Mbona maiti wamejaa 'Shakahola', au huna habari?

Sasa wewe hapa unataka tukuone kuwa unaufahamu mkubwa wa haya mambo kwa hivi vimaneno vya kipuuzi?
Mkuu kalamu heshima kwako naomba unioneshe wapi nimejifanya najua

Pia Mimi nimefanya nukuu ya mtu ni vema ungejikita kujibu hoja ya nukuu kuliko kunishambulia Mimi binafsi

JF ni chuo Cha maarifa nipo tayali kujifunza na kujirekebisha mtazamo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…