Tanzania imefika kiwango cha North Korea

Tanzania imefika kiwango cha North Korea

vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,742
Reaction score
2,459

1603877816938.png


an
 
Hawa jamaa sijui wanaogopa nini wanafungia hadi bulk sms
 
ATI jamaa aliban opinion polls,
Hahah,
Kuogopa aonekane hapendwi na wengi
 
Uhuru wa kutukana watu na kunyima Uhuru wa watu wengine ambao ni wengi, huo ni upumvavu. Serikali imefanya vyema.
Wewe ndo mpumbavu wa mwisho,kwani matusi yanaua?! Ni watu wangapi wanashindwa kufanya mambo yao kwa sababu ya mtandao mbovu ambao hata uchaguzi hauwahusu?! Ni watu wangapi wanashindwa kuingiza kipato kisa tu kuzuia kupata habari za uchaguzi?! Sijui huwa mnawaza kwa kutumia akili gani wakati hapo hata wewe ni muathirika.Au hata wewe unatkana!?!!
 
Ila huu ni ushamba sana sasa sijui anahofia nn? 2015 tension ya uchaguzi ilikua kubwa sana kuliko sasa ivi lakin mitandao haikufungwa na hakuna kilichotokea.. Sitashangaa kama aking'ang'ania tena madaraka 2025 maana mpaka sasa ameshaminya mapumbu hakuna mtu mwenye uwezo wa kuropoka chochote...
 
Sio kawaida. Neo liberalism ndio mfumo wetu na sio communism/ socialism.
CCM inafuata mlengo wa Socialism na Communism kwahiyo ni kawaida kwa haya mambo kutokea
 
2022 haiko mbali ngoja tuone kama hamtafungia media the same!
Haijawahi tokea even in the previous elections sasa 2022 ndio itokee? We don't entertain such stupidity in Kenya
 
Vyombo vya usalama Tz viko serious na kazi yake, ni vyepesi sana wanasiasa ku incite violence kwa kutumia mitandao huku wakitumia taarifa za uongo, bora tukose mtandao kwa siku 4 kuliko kuingia kwenye machafuko ya miaka.

Vyombo vya usalama kazi yao kuua wapemba!
 
Back
Top Bottom