Tanzania imefika kiwango cha North Korea

Tanzania imefika kiwango cha North Korea

Mbona tusimwage pombe ndani ya tundu cha kike?
 
Hehehehe mengine ya kuchekwa tu, hawa wataendelea hivi kwa miaka mingi sana, pole zao.
Najaribu hapa kuwaza, hivi yule dada yetu angeruhusiwa kuiongoza Voda ya Tanzania halafu apewe maagizo kama hayo ya kuzuia SMS, angetoka vipi, kwa kweli hapo alikwepa mkuki.
 
Vyombo vya usalama Tz viko serious na kazi yake, ni vyepesi sana wanasiasa ku incite violence kwa kutumia mitandao huku wakitumia taarifa za uongo, bora tukose mtandao kwa siku 4 kuliko kuingia kwenye machafuko ya miaka.
Wewe umefta nini wakati unakubali mtandao uzimwe
 
Aisee! Bila VPN haupati kabisa Jamii Forum na mitandao mengine ya kijamii.
Poleni ndugu zetu mlioko kifungoni,kuna haja kujifunza zaidi kuhusu mitandao pamoja na program muhimu.
 
Shida wanaiba Kura analog way,
Vitu watu walifanya 2007,

Nowadays WIZI Ni through software
 
Vyombo vya usalama Tz viko serious na kazi yake, ni vyepesi sana wanasiasa ku incite violence kwa kutumia mitandao huku wakitumia taarifa za uongo, bora tukose mtandao kwa siku 4 kuliko kuingia kwenye machafuko ya miaka.
Wakenya walitaka raia wao awe chanzo cha vurugu Tz
 
propaganda za kitoto za upinzani huo ni mfano wa karatasi za kupigia kura

karatasi hali za kura zilikuwa zina mistari kwa nyuma

karatasi ya kura ya udiwani ilikuwa ni nyeupe pote

ya ubunge ilikuwa na mistari black na white katika mfumo wa zebra

ya uraiai ilikuwa na mistari blue na white katika mfumo wa zebra pia
 
Wamerig ndani Mwinyi, Hakuna uchaguzi hapo TZ. Elections are useless in Africa. Very useless.😂😂😂 He wins with 76% of the vote.

In some constituencies in this election there were turn out of over 100% 😂 Elections are a facade in Africa. And TZ constitution says the results cannot be questioned in court sio Kama Kenya na Malawi where you can petition an election ina a court of law.
 
Back
Top Bottom