Uhuru wa kutukana watu na kunyima Uhuru wa watu wengine ambao ni wengi, huo ni upumvavu. Serikali imefanya vyema.Tumekuwa big news dunia nzima.
Kwa sifa mbaya ya kuzuia uhuru wa habari.
Kwani watu wote wanaotumia mitandao wanatukana?Uhuru wa kutukana watu na kunyima Uhuru wa watu wengine ambao ni wengi, huo ni upumvavu. Serikali imefanya vyema.
Unaota au mwezi ni mchanga?Tanzania has blocked social media, bulk SMS as its election polls open
Tanzania is one of many African countries that have been turning to heavy-handed legislation of social media, with Uganda, Kenya and Burkina Faso also resorting to draconian regulation of social media platforms.qz.com
View attachment 1614615
an
Wewe ndo mpumbavu wa mwisho,kwani matusi yanaua?! Ni watu wangapi wanashindwa kufanya mambo yao kwa sababu ya mtandao mbovu ambao hata uchaguzi hauwahusu?! Ni watu wangapi wanashindwa kuingiza kipato kisa tu kuzuia kupata habari za uchaguzi?! Sijui huwa mnawaza kwa kutumia akili gani wakati hapo hata wewe ni muathirika.Au hata wewe unatkana!?!!Uhuru wa kutukana watu na kunyima Uhuru wa watu wengine ambao ni wengi, huo ni upumvavu. Serikali imefanya vyema.
We inaonekana mweupe kichwani ....Uhuru wa kutukana watu na kunyima Uhuru wa watu wengine ambao ni wengi, huo ni upumvavu. Serikali imefanya vyema.
Tanzania has blocked social media, bulk SMS as its election polls open
Tanzania is one of many African countries that have been turning to heavy-handed legislation of social media, with Uganda, Kenya and Burkina Faso also resorting to draconian regulation of social media platforms.qz.com
View attachment 1614615
an
CCM inafuata mlengo wa Socialism na Communism kwahiyo ni kawaida kwa haya mambo kutokea
Haijawahi tokea even in the previous elections sasa 2022 ndio itokee? We don't entertain such stupidity in Kenya2022 haiko mbali ngoja tuone kama hamtafungia media the same!
Vyombo vya usalama Tz viko serious na kazi yake, ni vyepesi sana wanasiasa ku incite violence kwa kutumia mitandao huku wakitumia taarifa za uongo, bora tukose mtandao kwa siku 4 kuliko kuingia kwenye machafuko ya miaka.